Picha za ‘ney wa mitego’ na ‘nisha’ wakiwa faragha zafumwa mtandaoni…!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
ney_wa_mitego.jpg

Picha za msanii wa Bongo flava Ney Wa Mitego mwenye maneno ya shombo kwa wasanii wenzake kuhusu ukahaba wa wasanii wa bongo movie zimenaswa mtandaoni akiwa amepozi kimahaba na msanii wa bongo movie Nisha.





Ney ameonaka kama mtu ambae anafichua maovu mengi ya tabia za ukahaba wa wasanii wa tasnia ya filamu angalia yeye ndiye mteja mkuu wa makahaba hao kwa mujibu wa kauli yake kuwa makahaba wenye viwango wako bongo movie.

Ney na Nisha wamewahi kukanusha mara kadhaa kuhusu uhusiano wao na leo mambo yamekuwa hadharani.
 
ney_wa_mitego_nisha2.jpg uyu jamaa ndio anaita wasanii wenzake wazinifu,yeye ameoa? pia amekuwa akimkana demu wake kwenye vyombo vya habari pia anasema wenzake vibaya,yeye kumbe ni bonge la mnafiki 40 yake imefika,kumbe ni mpuuzi tu ,wale wale tu
ney_wa_mitego.jpg
 
Ujinga huu, picha za mtu na mpenzi wake sisi zinatuhusu nini? pimbi wewe.

asante mkuu mimi pimbi,hili jukwaa la celebrities ikiwemo na maisha yao,kilichonifanya kuandika kuhusu uju jamaa ni tabia yake ya kuwasema wenzake vibaya kwenye nyimbo pale picha zao za faragha zinapowekwa wazi,anawaita adi makahaba wakiwemo wanaume na wanawake kwenye game ya usanii,anawaita wazinifu,sasa yeye tumuitaje? pia amekuwa akimkana demu wake kwamba amjui wala awajawai kutana,sasa hii ni nini? anawakemea bongo movies ni malaya sasa uyo demu wake si yuko bongo movies?
 
Alichosema ndicho anachokifanya kwahiyo hakuna ubaya wowote wa yy kuwa mteja wa makahaba wa bongomovie, maana amethibitisha kwa vitendo kwamba ukitaka kahaba nenda bongomovie, na hilo la kumkana demu wake ww halikuhusu kama umepinda nenda kaandamane!
 
Aliwazalo mjinga ndio linalomtokea,nadhani mambo aliyokuwa anayasemasema ndio hayo tayari hewani kwahyo nayeye ndio walewale...
 
Tatizo anakula mate, na huyo demu katoka kunyonya dudu muda si mrefu kwa hiyo kwa kifupi hata huyo jamaa naye keshanyonya dudu.
 
Huo ni Ukuda sasa,hamkawii kuedit picha ili kumchafua Ney,mimi ni shabiki wake na daima itakua hvyo labda achange baadae.
 
unafikiri bila kuwatafuna angewajuaje ni makahaba ..jiulize bila kumla demu wako ntajuaje ni mtamu?kula baba.
 
Back
Top Bottom