Picha za ndoa ya Alfonso na Maria, hongera zenu.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
67n3oy7


Newly weds 85-year-old Spanish duchess Alba whose names are Maria del Rosario Cayetana Alfonsa Victoria Eugenia Francisca Fitz-James Stuart y de Silva with her new hubby Alfonzo Diez whose 25yrs her junior after nuptials in Saville Spain.


665vz5w




4ylelnj




 
kuna yule alikuwa anauliza kuhusu kupishana umri....umemjibu vizuri mkuu.....
ila hilo jina la mama.....nimesoma mpaka pumzi ikaniishia....duh
 
67n3oy7





Newly weds 85-year-old Spanish duchess Alba whose names are Maria del Rosario Cayetana Alfonsa Victoria Eugenia Francisca Fitz-James Stuart y de Silva with her new hubby Alfonzo Diez whose 25yrs her junior after nuptials in Saville Spain.


665vz5w




4ylelnj








Not so bad , he is 60 Years old, thought he was 25 and she was 85. Mambo ya mshiko hayo, halafu jamaa kafanana Juan Carlos. Na hicho kibibi kina shemeji yake kwa kakake pale Maji ya Chai, Arusha ni mmoja katika "cousins" wa ER.
 
Najaribu kuwaza ingekuwa mama yangu ningefanya nini? Si ajabu ningechukia kama hao watoto wake.

Lakini mama mwenyewe ni mwenye furaha na ndiyo kwanza anasakata charanga, kweli kumekucha!

Na ni mama mwenye titles nyingi duniani ameingia kwenye Guinness book of world records.
 
Hongera zao, lakini kama sikosei nadhani huyo Alfonzo Diez ni mtumiaji mzuri wa aidha viagra au cialis (tadalafil)!
 
Nime nimeshapata style ya mshono gani wa suit nitakaoshona kwaajili ya X-mass mwaka huu.
 
Bibi nimemkubali yuko fiti...85 bado shape imesimama , nguo imemkaa, wigi juu ndio usiseme acha huyo sijui ndio nani ajitupie tu.....
 
Jamani huyu bibi ataweza kweli kuhimili speed ya jamaa au amefungwa speed gavana?
 
Loh, huyo bibi anazidi kufupisha maisha yake, bora wangekuwa tu marafiki wa kawaida, huu ni muda wa yeye kutulia, sio wa kwenda kusumbua chaga za kitanda, eeh, atazidi kuuchosha mwili wake.
 
Kweli mapenzi hayana umri wala kabila sijui wana jf tumejifunza nini hapa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom