Picha za Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Zanzibar

Mimi nadhani hawa jamaa wanachokifanya ni kuhisi. Hawana uhakika wa moja kwa moja kama ni yeye hasa ndiye muuwaji.
Unaweza ukaichora picha,bila kuifananisha na mtu yeyote lakini ajabu kutokana na maumbile ya binadamu picha hiyo inaweza kukutwa ina shahabiana na mmoja kati ya watu ambao tuponao kwenye jamii hii tunayoishi.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1364803094979.jpg
    uploadfromtaptalk1364803094979.jpg
    70 KB · Views: 199
Ukubali ukatae lakini UKWELI ni kwamba, hii ishu imeshafanywa ni mtaji
wa kisiasa kama huamini fuatilia mchakato unavyoendelea. Ipo
siku ukweli,wa,mchezo,huu utajuilikana tu!
Mwengine au mwingine? Ha ha haa, pole sana Mzenji, mwaka huu lazima mlambe kinyesi. Hayo ya kusema hawafanani ni kutaka kuwaondoa watu kwenye mstari. Muuaji ndio huyo huyo, na alikuwa mgombea wa uwakilishi pale Rahaleo kupitia chama cha ugaidi
 
hawa jamaa noma walipewa picha ndo wakachora mbona kibonzo hakina tofauti na muhusika hadi pua na vimasikio.
 
Naona umeunganisha movie hapa hapa kwa,kutunga uongo hukua makini na
wala hukujipanga umeanza kukosea hata jina la mtuhumiwa
limekushinda kulijufahamu!!!Inawezekana kabisa hata zenj hujawahi kukanyaga,hakuna mzanzibari anayeweza kuandika au kutamka,UHAMUSHO
Aidha ataita UAMSHO au MUAMSHO lakini,SIO,UHAMUSHO. Jipange tena ndugu hapa hukufanikiwa!
Huyu jamaa anaitwa Omary Hajj Makame.

Ni fundi selemara kariakoo si mbali nnapoishi mm hapa michenzani,,,,,anaish mwanakwereke, alishawahi kugombania uwakilishi wa jimbo la raha leo lakini alishndwa na mpinzani wake wa CCM kuchukua Jimbo, jamaa ni mfuasi mnzuri wa CUf Na baadae kuwa Uhamsho kamili ndiye aliyechonga plan nzima ya kuchomwa maskan ya Kisonge hapa zanzibar,,,,jamaa huyu ni mtu hatari sana,,,,,,

Tukumbuke kuwa siku ya mauaji yupo aliyekuwa akifatilia gari ya kiongozi wa dini ya kikristo na huyu yeye alikuwa barabarani karibu na kanisa ikumbukwe kuwa hakuweza kuvaa ninja akiwa kasimama barabaran nadhan polisi wangemkamata mtu kutembea au kusimama huku kavaa nija ikumbukwe kuwa huyo kiongozi alipofika karbu na kanisa huyu ndiye aliyemtia risasi na kupanda vespa aliyokuwa nayo mwenzake na kusepa so uwezokano wa watu kumuona n mkubwa sema alivo simama hawakujua kama n muuaji,,,na habari za chini ya kapeti lakini msinitafute wenye nchi yenu yupo kiongozi mwenye asili ya kipemba iliyochanganyka na kiarabu anayetoa pesa na kuptsha silaha hii toka nchi jirani, kiongozi huyo n mzuri katka kucctsha aman,,,

Kikao kilifanyika nyumba moja maeneo fulani saa 8 usiku ni kikao cha siri chenye maudhui ya kuwaondoa watanganyika na ukristo zanzibar,,, na njia ilikuwa kuanza na kudeal na viongozi wa dini ya kikristo na mpango ulkuwa baadae kubakwa au kuliwa wanawake wa kibongo wanaovaa suruali zanzibar hii ingetia hofu na wabongo kuanza kurud kwao,,,,nmesema tu ila sitaku ushahidi zaidi ntasema kesho,,,,,,,,yupo kijana mmoja maarufu kama Ommy Cuf tutamjua vizur siku nyngne mauaji yataendelea kufanyika ikiwa jeshi la polisi na Marais wote wawili wataogopa lawama kama walivyochelewa kwa Uhamsho.

" hakikisha utumii line yako unapotaka kuwasiliana na mm hakikisha una bipu kwanza hakikisha kabla sijakupgia ntakubipu mara 2 kwa line yangu ya Flamingo, Namini watu wako hawataniangusha kila mtu atapewa malipo mazuri siri inatakiwa na hakikisha wasinijue mimi,,,,,,,,,kuitwaa Nchi hii ni wajibu wetu maana sisi ni wengi kuliko wao" Flamingo Flamingo
 
kusema la ukweli hizo picha na mchoro havina resemblance yoyote..hawafanani kabisaa..yani mi sioni wanachofanana..angalia ndevu, kidevu, macho, mi sijui nyie mnaonaje..mimi sijawa convinced kwamba huo mchoro ni wa huyo jamaa..hata kidogo..
 
Wenzetu wao wanakimbizana na technology sisi tunagombania kuchinja wanyama:A S 39:.

safi sana FBI hapa hamjabashiri ila mmepatia haswa.

wasiwasi wangu sasa ni mtiririko wa kesi Zombe aliwaua wafanya biashara na hela zao akachukua ila system ikaja kumuona hana hatia.:A S 39:
 
Mimi jamani mchoro Huo nilifananisha na Yule mkuu wa polisi Huko Zenji
 
Kwa hili,FBI walishindwa na ndio maana waliondoka kimya kimya,hii ishu ina utata sana, fuatilia alichokisema Mussa,Ali Mussa,alipoulizwa na Waandishi! wa Habari
Wenzetu wao wanakimbizana na technology sisi tunagombania kuchinja wanyama:A S 39:.

safi sana FBI hapa hamjabashiri ila mmepatia haswa.

wasiwasi wangu sasa ni mtiririko wa kesi Zombe aliwaua wafanya biashara na hela zao akachukua ila system ikaja kumuona hana hatia.:A S 39:
 
Mbona hivi vitu vinawezekana kabisa.Hiyo ni taluma kama zilivyo taluma nyingine.Mbinu ya kuchora picha kutokana na maelezo ya mtu inatumika tangu zamani katika shughuli za kijasusi,na imekuwa ikifanikiwa kwa kiasi kikubwa tu.

Hapa tunaweza tukabishana mpaka kesho,mimi sioni ajabu maana kuna wanaomuunga mkono muuaji na wanaomlaani.Hatuwezi kuwa na mtazamo unaofanana juu hili.Kikubwa tu awe kweli ndiye muhusika mwenyewe isijekuwa amesingiziwa.
 
Hapo ndio tunaona wenzetu walipo na sisi tulio.Utakataa kweli wakituita Dark Continent? That is professionalism, hakuna siasa.
 
Mimi nadhani hawa jamaa wanachokifanya ni kuhisi. Hawana uhakika wa moja kwa moja kama ni yeye hasa ndiye muuwaji.
Unaweza ukaichora picha,bila kuifananisha na mtu yeyote lakini ajabu kutokana na maumbile ya binadamu picha hiyo inaweza kukutwa ina shahabiana na mmoja kati ya watu ambao tuponao kwenye jamii hii tunayoishi.

Mkuu usishangae fani za watu hizo watu wanaenda shule miaka 3 au 10 kwa ajili ya issue za investigation.
 
kusema la ukweli hizo picha na mchoro havina resemblance yoyote..hawafanani kabisaa..yani mi sioni wanachofanana..angalia ndevu, kidevu, macho, mi sijui nyie mnaonaje..mimi sijawa convinced kwamba huo mchoro ni wa huyo jamaa..hata kidogo..

Umeshasema ni wewe?lakini sisi tunaona wanafanana.Hata darasani wanafunzi wote hawalingani kiakili kuna ambao watapata A na watakaopata zero.Kwa hiyo sisi wa A tumeshaona wanafanana hatuwezi kushangaa wewe wa zero ambaye bado hujapata jibu manake watu tumetofautiana kiakili.
 
Walichofanya fbi hapo,wamepima macho ya padre wakagundua picha ya mwisho ya mtu aliyemuona na ikaonekama kunadalili ya kushangaa ikimaanisha ameshtushwa,kwa hiyo kwakuwa alikuwa mbali kidogo haikutoka vizuri,then wachoraji wakafanya kazi hiyo,walipoipeleka mtaani wakauliza mnamjua huyu wakaitika ndio,kumfuata copyright na picha,na alivyo mjanja inaonekana ni mzoefu wa kazi,alikuwa akivaa balagashia badae akawa anavua ili apoteze mwonekano,bigup Fbi.
 
Mimi nadhani hawa jamaa wanachokifanya ni kuhisi. Hawana uhakika wa moja kwa moja kama ni yeye hasa ndiye muuwaji.
Unaweza ukaichora picha,bila kuifananisha na mtu yeyote lakini ajabu kutokana na maumbile ya binadamu picha hiyo inaweza kukutwa ina shahabiana na mmoja kati ya watu ambao tuponao kwenye jamii hii tunayoishi.
Ndugu yangu hawa jamaa taaluma yao iko mbali sana unachofikiri ww hakiwezekani kwao ni rahisi sana... inshort wanachukua image kutoka katika macho ya maiti kwa vifaa maalumu ni kazi kukuelezea ila ndivyo wanavyofanya endapo tu marehemu aliweza kumwona muuaji.
 
Mkuu FBI ni wababaishaji kama hawa wetu tu. Wameshindwa mpaka leo kuwapata walioandaa 911.

Kama umesoma michango ya mwanzoni, imesemwa kuwa wahalifu hao walivaa kininja usoni, sasa huo uso na baragashia ulionekana vipi na hao waliohojiwa mpaka ukapatikana huo mchoro?

udadisi unahitajika, sio kumeza tu.

Unaweza kusimamisha gari kuwasikiliza watu waliovalia kininja?
 
Kwa hili,FBI walishindwa na ndio maana waliondoka kimya kimya,hii ishu ina utata sana, fuatilia alichokisema Mussa,Ali Mussa,alipoulizwa na Waandishi! wa Habari

wewe si mzima inaonekana utotoni ulishambuliwa na degedege kama sio polio

yani gaidi sura yake ipo wazi kabisa, na huyo pamoja na masheikh wa uamsho kwa pamoja wote tunawapeleka guantanamo
 
Back
Top Bottom