Picha za MNYIKA akitolewa nje ya Viwanja vya Bunge

Hebu angalia anatoka akiwa anatabasamu utafikiri kafanya jambo la maana. Kweli dogo kaonyesha udhaifu wa juu sana
 
428443_483433348339964_1190126668_n.jpg


Wewe kweli poyoyo, aliekuambia anawaza NINGE hapo nani, ujinga tuu umewajaa, mnadhani kubaki ndani ya mjengo na kuonekana umo ni zaidi ya misimamo ulionayo? kasimamia kweli na kweli ndiyo inayomweka mtu huru, peleka nidhamu yako ya woga hukohuko kwenu.
 
My simple advise to Mnyika:
Dont let fame get to your head be calm and collected.
Kama una bifu na JK, jaribu kulinganisha notes na Godbless Lema.
Wewe ni mmoja wa vijana wenye akili CDM, dont go to waste!


Mnyika amekuwa mkweli na Hakupenda kufunika funika maneno kama ambavyo ssm mnafanya, alichofanya Myika leo si kutafuta umaarufu bali ni kuwaambia ccm ukweli ili nao wafunguke na kuuona huo ukweli. Lakini wao hawakuliona hilo na ndilo lililompa umaarufu zaidi Myika.
Kauli kuwa Kikwete ni dhaifu imezagaa mitaani siku nyingi wala Myika sio wa kwanza kuitamka.
 
Mnyika is not wasted neither is he a waste! that is his stand, what he believes is right...he just said what millions would say today. Don't you see what is happening in the country today? are we deserving all these? It is because of weakness our top most leader has displayed over a period of time.
 
Aisee namkubali sana Mh John John Myika ni jembe haswa ikumbukwe kuwa wabunge wa Magamba na wale wa Cuf ni wazaifu pia kwani wanashindwa na kijana mdogo tu huyu na wao hupitisha madudu then wakitoka hapa utawaona kwa media wakilalamika wakati wao ndio kwanza walikuwa wakimwita Mh mtukufu Rais kuna mtukufu hapa au mapovu acheni uzushi wabunge wa Magamba na Cuf kuweni kama Mh John JOhn Mnyika kama tungekuwa na wabunge zaidi ya 150 wa Chadema nchi hii ingekuwa poa lakini mpaka sasa si haba wanakamua vya kutosha sasa mwaka 2015 ndio kabisa watakuwa full na Mh mwenyewe Rais Dr Wilbroad Peter Slaa ndabi ya ikulu.Mh Mnyika hakuna kufuta kauli yako komaa hivyo hivyo watakuelewa sana tu baada ya muda.Kumbukeni wakati ule Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro alimwita Mh Tundu Lissu kuwa ni kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa sheria lakini mwisho wa siku alisahau kaanza kumsifu na kumwita Mh wewe ni jembe so waacheni tu wawatoe nje ya Bunge kwani hata huyo Bibi sura M..B.A..YA anafahamu kuwa Kikwete ni DHAIFU na HATA WATOTO WA KINDERGATEN WANAFAHAMU HILO
 
My simple advise to Mnyika:
Dont let fame get to your head be calm and collected.
Kama una bifu na JK, jaribu kulinganisha notes na Godbless Lema.
Wewe ni mmoja wa vijana wenye akili CDM, dont go to waste!

na wewe kama unaugomvi na mnyika bora mumalizane kikawaida kuliko kumlaumu kwa hili alilolifanya leo kwani yuko sahihi,
 
hurreeeey kijana wetu mnyika ---- songa mbele ------ mnyika ajatukana kabisa ---- jee akikua ccm angetolewa ???? Ni dhahiri kwamba ccm wameshindwa nchi hii. Na kikwete pia ameshindwa urais atoke laa si hivyo tutamtoa kwa nguvu zote za wananchi. Hii ni onyo kwa kikwete na watu wake wa ufisadi. Tomechoka kabisa
 
msikubali kunenepeana wabunge wa CDM...unene unaleta kufikiri kudogo sana...waandgalieni wenzenu wanavyopata shida kusoma na kutafakari...mengine yamelala tu...ungalia wewe baba mwepesi hata kufikiri baba...CDM juuuuuu
umesema Komba ni portable!!!?
rudia tena akusikie. Ameapa hatafanya mazoezi kamwe, Lulu anapenda umbo lake. Hatomwacha kamwe! mtachonga sana walimwengu!! Tundu Lissu haikuhusu vile vile.
 
Chadema mna akili lakini mnashindwa ku2mia akili na nidham katika kusolve mambo na matokeo yake ndo kama haya mwalopoka ovyo.Hii iwe fundisho kwa wengine.
Mweshimuni rais wa nchi na tumieni busara ktk kumkosoa.

Heshima haitunguliwa kama tunda, inapaliliwa kama mti wa tunda na huzaa matunda. Wewe heshima/hekima yako iko wapi hapa kutoa mapovu? Ujumbe kuwa rais wako wa NEC ni dhaifu umewafikia watanzania wengi kuliko wa JF. Povu lako halibadirishi maudhui ya ujumbe raisi ni dhaifu,dhaifu, dhaifu kila nyanja, kila sehemu, kila mahali na tunalijua wengi wetu.
 
My simple advise to Mnyika:
Dont let fame get to your head be calm and collected.
Kama una bifu na JK, jaribu kulinganisha notes na Godbless Lema.
Wewe ni mmoja wa vijana wenye akili CDM, dont go to waste!
You don't have moral authority to advise hon. Mnyika.
 
Back
Top Bottom