Picha za mkusanyiko wa wadau kwenye Chaguzi ndogo Arusha

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
DSC05574.JPG DSC05579.JPG DSC05611.JPG DSC05629.JPG DSC05633.JPG
DSC05575.JPG DSC05585.JPG DSC05619.JPG DSC05632.JPG DSC05634.JPG
DSC05576.JPG DSC05588.JPG DSC05620.JPG DSC05630.JPG DSC05634.JPG
DSC05636.JPG DSC05637.JPG DSC05639.JPG DSC05642.JPG DSC05643.JPG
Nyomi hii ndiyo iliyowatisha CCM na hasa baada ya kupata taarifa kuwa kuna wagombea diwani wawili, mabalozi 23, na wanachama zaidi ya 100 kuhamia chadema baada ya kuchukizwa na unyama uliofanywa na polisi kwa kuratibiwa na CCM..
Asante sana makamanda wenzangu Mungi, Arushaone kwa ushirikiano mliuonyesha. Tuko pamoja makamanda!
 
Last edited by a moderator:
Crashwise ubarikiwe kwa picha, at least I can have a feeling.

CCM na serikali ndio mwisho wao kwa uonevu. Arusha ndipo patakapozaa Tanzania mpya yenye matumaini kwa vizazi vijavyo. Poleni sana kwa yote mnayopitia ila msikate tamaa kwa vile tu wahuni wameongeza ukatili wao.

Unene wa giza ndio ukaribu wa mwanga.
 
Jamani hivi hii ya wagombea 2 wa greed guard na hao mabalozi 23 na wanachama 100 ni issue ya kweli? Maana leo hii ni posti kama ya 2 au ya 3 naiona. Halafu wakijiunga na Chadema katika kata zao Green Guard kwa wiki hizi 2 wataweka watu wengine au ndo CDM itashindana na wa reberal?

Kingine, kama mikusanyiko imezuiwa Arusha mpaka tar 30 hakutakuwa na kampeni tena hapo kati kati? Na siku ya kupiga kura hiyo itakuwa siyo mikusanyiko? Naomba kujua tu
 
Tanzania yangu jamani! Kwanini umepata watawala wasiothamini utu wanathamini tu matumbo yao??
 
Kidogokidogo watu wanazoea mabomu yao na kuwa sugu. Sijui 2015 wakati watu wameshazoea mabomu yao na bunduki zao na kuwa sugu kama ilivyokuwa Libya na Misri, na ikizingatiwa uchaguzi mkuu utakuwa kila kona ya nchi, na askari wao watakuwa wamegawanywa na hivyo kuwa wachache - itakuwa vipi!
 
Serikali ina akili kuliki unavyofikiri. Na si pande zote za nchi wala watu wote wanawaza kama wewe.
 
Jamani hivi hii ya wagombea 2 wa greed guard na hao mabalozi 23 na wanachama 100 ni issue ya kweli? Maana leo hii ni posti kama ya 2 au ya 3 naiona. Halafu wakijiunga na Chadema katika kata zao Green Guard kwa wiki hizi 2 wataweka watu wengine au ndo CDM itashindana na wa reberal?

Kingine, kama mikusanyiko imezuiwa Arusha mpaka tar 30 hakutakuwa na kampeni tena hapo kati kati? Na siku ya kupiga kura hiyo itakuwa siyo mikusanyiko? Naomba kujua tu
 
kumbe ndiyo mana wamechanganyikiwa hadi 2014 lazima wakae magamba hawa Crashiwise,Mungi,Arushaone asanteni sana kwa kutujuza kwa kila hatua....Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu Mungu ibariki chadema.
 
Ningekuwa Mods hata hawa akina NAPE na Mwigulu nawafutilia mbali mashetani wakubwa! hawajali maisha na uhai wa watanzania wenzao!
 
Kweli sasa naamini kuwa mwisho wa CCM uko karibu.. maana wameanza kutumia silaha ya mwisho.. kujitahidi kubaki madarakani.... tuone kwenye hii kete yao ya mwisho watafanikiwa japo kwa kiasi gani.... WAMETUCHOKOZA.. WATANZANIA tuamke... Hongera wanaarusha.. walaaniwe wote wanawakumbatia ccm na silaha zao ilhali wakijua kuwa wanawafisadi, na wala hawana mpango wa kulete maendeleo yoyote Tanzania. Walaanie wote wanaoendesha Nchi yetu kwa hila...
 
kumbe ndiyo mana wamechanganyikiwa hadi 2014 lazima wakae magamba hawa Crashiwise,Mungi,Arushaone asanteni sana kwa kutujuza kwa kila hatua....Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu Mungu ibariki chadema.
Pamoja mkuu...
 
Back
Top Bottom