Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Nyomi hii ndiyo iliyowatisha CCM na hasa baada ya kupata taarifa kuwa kuna wagombea diwani wawili, mabalozi 23, na wanachama zaidi ya 100 kuhamia chadema baada ya kuchukizwa na unyama uliofanywa na polisi kwa kuratibiwa na CCM..
Asante sana makamanda wenzangu Mungi, Arushaone kwa ushirikiano mliuonyesha. Tuko pamoja makamanda!
Last edited by a moderator: