Picha za mkusanyiko wa wadau kwenye Chaguzi ndogo Arusha

Nyomi hii inazidi kuwa tisha majangili, mafisadi wauwaji aka warusha mabomu...
 
Crashwise ubarikiwe kwa picha, at least I can have a feeling.

CCM na serikali ndio mwisho wao kwa uonevu. Arusha ndipo patakapozaa Tanzania mpya yenye matumaini kwa vizazi vijavyo. Poleni sana kwa yote mnayopitia ila msikate tamaa kwa vile tu wahuni wameongeza ukatili wao.

Unene wa giza ndio ukaribu wa mwanga.
Warusha mabomu wameingia mchecheto na nyomi hii watu wa Arusha walikuwa wanajipanga kuwa kabili na mabomu yao..kwakweli naipenda Arusha na nina jivunia kuwa sehemu ya mwana A- Town...Shemeji yake Lowasa kachukungulia kaona mambo siyo mambo...
 
kama watu wa arusha peke yao ndio wangepiga kura za kuchagua rais ... lakini si hivo umaarufu wa cdm mwisho SEGERA
 
View attachment 98278View attachment 98281View attachment 98284View attachment 98289View attachment 98291
View attachment 98279View attachment 98282View attachment 98285View attachment 98290View attachment 98292
View attachment 98280View attachment 98283View attachment 98286View attachment 98287View attachment 98292
View attachment 98293View attachment 98294View attachment 98295View attachment 98296View attachment 98297
Nyomi hii ndiyo iliyowatisha CCM na hasa baada ya kupata taarifa kuwa kuna wagombea diwani wawili, mabalozi 23, na wanachama zaidi ya 100 kuhamia chadema baada ya kuchukizwa na unyama uliofanywa na polisi kwa kuratibiwa na CCM..
Asante sana makamanda wenzangu Mungi, Arushaone kwa ushirikiano mliuonyesha. Tuko pamoja makamanda!

sawa kamanda na kita eleweka tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom