Cheche Mtungi JF-Expert Member Nov 14, 2010 2,619 771 Dec 13, 2013 #1 Ni mistari ya wananchi ya Afrika ya Kusini wakielekea kuuaga mwili wa Mzee Madiba huko Afrika ya Kusini.
Ni mistari ya wananchi ya Afrika ya Kusini wakielekea kuuaga mwili wa Mzee Madiba huko Afrika ya Kusini.
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,015 54,296 Dec 13, 2013 #3 Ni watu wengi sana ni haki waliposema wengine ilipofika jioni walizuiwa.
2013 JF-Expert Member Aug 2, 2011 11,358 6,059 Dec 14, 2013 #4 kennedy, hiyo avatar yako, huyo ni obama au nani anatazama nin? ha ha ha