Picha za miili ya Wanafunzi 12 walio ungua kwa moto Idodi

inasikitisha sana na kutia uchungu mno...mungu awapumzishe pema marehemu ndugu zetu. Amen


ni kweli inasikitisha hil janga la moto katika bweni huwa halitokei mara kwa mara lakini linapotokea damage inakuwa at its maximum mimi nadhani ni vyema kama wangefanya instalation ya fire and smoke detectors huko mabwenini ili kuwa alert watu kama kutatokea toke ajali za namna hii
 
do mimi inanisikitisha sana, inamanisha hata huyo mkandarasi aliyejenga shule hiyo ya idodi hakuwa na akili, maana kama nyumba ya familia ya watu watatu inajengwa na inakuwa na emergence door, litakuwaje hilo bweni la kulala wanafunzi 400 likawa na mlango mmoja tu, sijui kasoma shule gani hiyo au ndo ufundi wa mtaani. hili ni janga la kitaifa maana tumepoteza viongozi wetu wa kesho. MUNGU AZIWEKE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI, AMEN,
 
Back
Top Bottom