Picha za mh. Vicky Kamata nchini China alipokua akijiandaa kuanza maisha mapya

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
10339703_684659721595903_7062885930389511313_n.jpg
WAKIPATA MIXED FRUIT NA BWASHEE NA MARAFIKI

<tbody>
</tbody>

10314703_684659594929249_8365389037762989996_n.jpg
MH. VICKY, SALAHAA WA SILENT OCEAN NA CHARLES

<tbody>
</tbody>

10338262_684659561595919_3744247904512102551_n.jpg
NITAKUAMBIA BAADAE KUHUSU HII PICHA

<tbody>
</tbody>

10256816_684659634929245_6317131655821755117_n.jpg
MH. VICKY , STEVEN [ SIE MUANDISHI WA HABARI HII] NA CHARLES

<tbody>
</tbody>
IMG20140512WA0002.jpg

10177998_684659698262572_7240071280109093388_n.jpg
MIXED FRUIT JUICE

<tbody>
</tbody>
10245504_684659734929235_1513000555848094852_n.jpg


10258334_684660024929206_4383027814643324144_n.jpg

1907293_684659844929224_8606512804108072431_n.jpg
NJE YA ASIA INTERNATIONAL HOTEL... Mia

<tbody>
</tbody>
 
Mkuu figganigga kwa kumuangalia tu huyu tapeli Charles usoni utaona kabisa he is not material husband at all. Kitabia anaweza kabisa kufanana na member mmoja hapa kila siku full kujisifia mara hivi mara vile!!! Charles mtu wa makamuzi tu na bebez wenye hela. Sema sasa nashangaa watu hawamjui sana huyu tapeli kiundani.
 
Yaani haya yaliyomtokea huyu mdogo wetu yanasikitisha na kudhalilisha sana sana, yanawadhalilisha wote (bibi arusi mtarajiwa na bwana aruisi mtarajiwa). Tuwaombee wapate wokovu na amani ya Muumbaji Mungu wetu!!!

bado ni Watarajiwa Kumbe????
 
Kweli MUNGU anapanga binadamu nae anapanga...mwisho wa siku ndo ivo tena!
 
Hawa mabinti wenye nyodo kilele chao ni kuvalishwa pete za uchumba tu, ndoa hakuna wataishia kumegwa tu. Hata cjui huyu ni mchumba wake wa ngapi!
 
Mkuu figganigga kwa kumuangalia tu huyu tapeli Charles usoni utaona kabisa he is not material husband at all. Kitabia anaweza kabisa kufanana na member mmoja hapa kila siku full kujisifia mara hivi mara vile!!! Charles mtu wa makamuzi tu na bebez wenye hela. Sema sasa nashangaa watu hawamjui sana huyu tapeli kiundani.
Hahahahaaaa...Hivi huyu kaka ana uhusiano na le mutuz? mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom