Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Wanaume wote wa Royal Family ni maofisa wa jeshi na walitakiwa leo wote wavae sare za jeshi kumuaga Prince Philip. Lakini kwakua Harry amevuliwa vyeo vyake vya kijeshi, Malkia amesema wote wavae suit wasiwe tofauti na Harry. Malkia ametumia busara kubwa.
Na Prince Andrew pia. Ile skendali yake na yule mzee Mwenzake ilimfanya ajiondoe public duties hivyo naye alikuwa asivae uniform. Ila huyu HRH The Majesty ni akili kubwa sana.
 
Nilichokja kugundua ana malkia ana hyo cheni anaivaaa toka akiwa kijana mpka uzeeni sjui kuna siri gani kupitia hyo cheni
 
ni tradition hiyo, ipo kwa maelfu ya miaka, prince lazima awe mjeda na atake active role ikitokea vita
lakini pia hata malkia alikuwa fundi makenika wa jeshi wakati wa WW2
Haiwezi kua tradition ,funguka nn kilipelekea kuwepo kwahali hiyo(tradition)
 
Kidemu kinaonekana kina peace of Mind! kwa sura tu! haka hata alikuwa akikaambia ingia jikoni kana kwenda tu! siyo kama Camilla korofi lile lidada wee!! charles anakoma yaani!

Princesses Diana kalikuwa na kiburi baridi cha wazi kwa muonekano tu!! hata Matendo yake yalionyesha!! kaliamua tu kuchukuliwa na Doddy ili kuwa komesha!! kalijisemea moyoni hata wakiniua nita kuwa sha dhalilisha ufalme tu kwani nini bana!

Kamemrithisha Hurry hii jeuri huyu dogo! kaoa anakojua yeye kuwa ni sawa!! akamwaga Manyaga ya kubebwa bebwa km mfalme ni km kanajisemea moyoni'' wamemuua Mama namie sikai hapa! na wauaji .......naondoka tu km mama alivoondoka !! William ukibaki shauri zako lkn mie Mama ni kila kitu!''
 
Usilolijua Harry alipanga maisha yake, kukutana wana Meghan haikua bahati mbaya, alijua itamtoa kwenye Ufalme. Aliuchukia Ufalme tangu kifo cha mama yake.
 
Hivi hua kuna siri gani hawa royals wote wa kiume kupitia jeshini? Ukiangalia watoto wao wote wa kiume pia ni wajeda au wamepitia jeshini
Ni kwa Sababu kiasili nchi Zote unazoziona hapa Duniani zimetokana na vita .Vita ndo matokea ya Nchi kuwepo .mhimu pia nchi Zote zilikua zinaongozwa na Wafalme na Mfalme ili aweze kuwa na amani katka utawala wake ilikua mhimu kuwa na jeshi imara na pia Wafalme ndo walikua wanaongoza majeshi wakati wa vita wakiwa mstali wa mbele hivo ilikua ni lazima wawe wamepitia Jeshini.
 
Back
Top Bottom