Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Gazeti la Serikali la Herald limepakia picha hizo kwenye akaunti ya Twitter.
Rais Robert Mugabe anashiriki mazungumzo Ikulu mjini Harare kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa kisiasa nchini humo.
Kwamaana hiyo Mugabe hajapinduliwa.Picha za kwanza za mkutano kati ya Rais Robert Mugabe na Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe Jen Constatino Chiwenga pamoja na Padri wa Kanisa Katoliki Fidelis Mukonori, na wajumbe kutoka Afrika Kusini katika Ikulu ya Harare zimetolewa.
Gazeti la Serikali la Herald limepakia picha hizo kwenye akaunti ya Twitter.
kwa mujibu wa jeshi la zimbabweKwamaana hiyo Mugabe hajapinduliwa.
Hizo ni za asubuhi. Kwasasa Robert yupo ikulu ana kikao tenaPicha za kwanza za mkutano kati ya Rais Robert Mugabe na Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe Jen Constatino Chiwenga pamoja na Padri wa Kanisa Katoliki Fidelis Mukonori, na wajumbe kutoka Afrika Kusini katika Ikulu ya Harare zimetolewa.
Gazeti la Serikali la Herald limepakia picha hizo kwenye akaunti ya Twitter.
Ni sahihi kabisaDuru zinasema kuwa amegoma kung'oka akitaka abaki madarakani mpaka wakati wa uchaguzi mwakani.
Hahh h Gile yupo tour NamibiaGile yupo?
Huyo kamanda ni kunguru tu. Hapo ilibidi wamfunge jela mzee babu huyo, alafu wao waendelee kugawana madaraka tu. Haiwezekani mtu mmoja awatie umaskini.Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu
Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo
Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile
Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali