Picha za kwanza zatolewa za mkutano wa Mkuu wa Majeshi na Rais Robert Mugabe

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
408321b86fdbe42fd45ed38290efa89a.jpg
42211b3e8e7ddb77efc50201283f450b.jpg
ac8615b9afe4aaec243f3c4ad028f0b5.jpg
cfb06913ee32d8d776352b9feb43faa9.jpg
Picha za kwanza za mkutano kati ya Rais Robert Mugabe na Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe Jen Constatino Chiwenga pamoja na Padri wa Kanisa Katoliki Fidelis Mukonori, na wajumbe kutoka Afrika Kusini katika Ikulu ya Harare zimetolewa.

Gazeti la Serikali la Herald limepakia picha hizo kwenye akaunti ya Twitter.

Rais Robert Mugabe anashiriki mazungumzo Ikulu mjini Harare kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa kisiasa nchini humo.
 
42211b3e8e7ddb77efc50201283f450b.jpg
ac8615b9afe4aaec243f3c4ad028f0b5.jpg
cfb06913ee32d8d776352b9feb43faa9.jpg
Picha za kwanza za mkutano kati ya Rais Robert Mugabe na Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe Jen Constatino Chiwenga pamoja na Padri wa Kanisa Katoliki Fidelis Mukonori, na wajumbe kutoka Afrika Kusini katika Ikulu ya Harare zimetolewa.

Gazeti la Serikali la Herald limepakia picha hizo kwenye akaunti ya Twitter.
Kwamaana hiyo Mugabe hajapinduliwa.
 
Hizo ni za asubuhi. Kwasasa Robert yupo ikulu ana kikao tena

BBC
 
Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu

Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo

Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile

Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
 
Huyo kamanda ni kunguru tu. Hapo ilibidi wamfunge jela mzee babu huyo, alafu wao waendelee kugawana madaraka tu. Haiwezekani mtu mmoja awatie umaskini.
 
Back
Top Bottom