Picha za kwanza zatolewa za mkutano wa Mkuu wa Majeshi na Rais Robert Mugabe

Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu

Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo

Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile

Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali

Wapi kasema ameteka nchi?
 
Duru zinasema kuwa amegoma kung'oka akitaka abaki madarakani mpaka wakati wa uchaguzi mwakani.
Hata jeshi halikuwa na nia ya kumwondoa Mugabe, nia yao ilikuwa kuwaondoa wanaomzunguka ambao walikuwa wanasababisha kutengwa kwa 'old generation' waliopigania uhuru. Jeshi limeingilia ili kulinda wapigania uhuru.
 
Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu

Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo

Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile

Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali

Tangu awali alisisitiza hawajampindua Mugabe Bali wanadhibiti genge la wahuni linalomzunguka then ataombwa apumzike
 
Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu

Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo

Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile

Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
mambo hayawagi kirahisi hivyo...yaani unafurahia wazungu kutaka kuweka kibaraka wao?
 
Ni vema tu akakubali kuachia kwa amani. Na Mkuu wa Jeshi ampe heshima kama Rais Mstaafu wa nchi hiyo. Ingependeza zaidi
Kuachia kwa amani ni hadi muda wake aliopewa na wananchi wa Zimbabwe uishe
 
Mkuu pamoja kunasihi kuepusha rabsha au mauaji, mzee aachie kwa amani na apewe heshima zote za Rais Mstaafu bado unaona si jambo jema?
 
Back
Top Bottom