Picha za kutisha: Upasuaji wa mtanzania akiwa na madawa ya kulevya tumboni mwake...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Dec 17th 2013


miss.jpg


Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.


Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.


miss.jpg


Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.


miss.jpg


Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.

miss.jpg


Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.

miss.jpg


Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.

miss.jpg


Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.

miss.jpg


Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana.

miss.jpg


Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.

miss.jpg


Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.

miss.jpg


Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari .
 
Vijana wetu wanapotea nchi yetu ni tajiri ni wachache wanaofaidi ndani ya CULT ni wao na watoto wao - mtanzania MLALAHOI anaambiwa kuwa tatizo ni UKANDA ndio Maana hakuna AJIRA
 
Eeh Mungu wangu ulie juu sehemu takatifu. Tusaidie vijana wako tunaharibikiwa na kupoteza maisha uliyo tupangia. I SAY NO TO DRUGS:banghead:
 
Vita against drugs imeshindikana duniani kote, sehemu nyingi wakishika unga huwa hawatoi maelezo ya kueleweka wanakoyapeleka.
 
Kweli hii ni hatari sana katika Taifa letu. Kwa viongozi tuliosikia wanafanya biashara hii na wakiwemo wanaotaka kugombea urais 2015. Ni jukumu letu watanzania tuwapinge kwa nguvu zetu zote wagombea hawa na ikiwezekana tuwataje kwa majina yao ili wasiowajua wapate kuwajua.
 
Mimi siamini kama huwa wanameza kupitia mdomoni...maana hizo kete ni kubwa sana sasa wanakua na koromelo la namna gani...maana hata ubwabwa wenyewe ukiumeza vibaya unaweza kukuruza au panadol kupita pale ni shida.vipi hizi kete zinapitaje kooni?
anaejua zaidi atuweke sawa.
 
sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari
Never on Earth... nngu007 labda uwe na utumbo wa Ngombe....binadamu wa kawaida akibeba uzito mkubwa ni kete 160 mpaka 165.
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe nastaajabu wanamezaje? Maana kwanza wanasema hazitaki maj, kwaiyo mtu anameza kavu kavu? Na kwngn nlisoma kuwa wanasukumizwa kwa ******u sasa si atachanika? Hapana, kuna njia wanatumia c bure! He!!
 
Well its very bad and also deadly game to gamble ,but i doubt kete 5000? Nafikiri idadi hii inawezekana kuwekwa kwenye maiti tu.....:disapointed:
 
Mimi siamini kama huwa wanameza kupitia mdomoni...maana hizo kete ni kubwa sana sasa wanakua na koromelo la namna gani...maana hata ubwabwa wenyewe ukiumeza vibaya unaweza kukuruza au panadol kupita pale ni shida.vipi hizi kete zinapitaje kooni?
anaejua zaidi atuweke sawa.

TOMASO, WANAMEZA KUPITIA MDOMONI, na hii ni njia primitive sana ya kusafirisha unga, ni -------- tu anayeweza kukubaliwa kuwa punda kwa njia hii!!
 
Back
Top Bottom