picha za kuonyesha ofisi ya chadema ilivyoungua baada ya kuchomwa moto

Acha porojo zako hamna hata ushahidi kuwa hizo ni nyumba za Chadema; umeokoteza picha za kijijini kwenu eti utuaminishe kuwa ni za ofisi za chadema!!! Upuuzi wako kaa nao huko huko magambani.
 
ubishi wako autokusaidia kokote. hizo ndio ofisi zenyewe ata ukikataa ndio zenyewe . watu wabishi sijaona
 
Acha porojo zako hamna hata ushahidi kuwa hizo ni nyumba za Chadema; umeokoteza picha za kijijini kwenu eti utuaminishe kuwa ni za ofisi za chadema!!! Upuuzi wako kaa nao huko huko magambani.
Dah mbona umekuwa mkali ndizo zenyewe au ulijua kitu alluminium,tiles etc.wanasema ngoja wachukue nchi hadi pale magogoni watafungua ofisi ya tawi.
 
Yale yale ya CCM na CUF wakati ofisi za Lumumba zinachomwa moto, na moto wenyewe kama huo ume chomwa chooni tafakari!!!
 
Dah mbona umekuwa mkali ndizo zenyewe au ulijua kitu alluminium,tiles etc.wanasema ngoja wachukue nchi hadi pale magogoni watafungua ofisi ya tawi.

Magamba walishafungua Tawi lao magogoni siku nyingi na ndio maana mwenyekiti wao huwa anaitisha mikutano yao pale Ikulu!!! Hajui kuwa Ikulu ya Magogoni ni ya WATANGANYIKA wote na sio ya magamba !!!
 
Back
Top Bottom