Picha za kuogofya: Amzika mwanae akiwa hai kisa ameahidiwa kuolewa na tajiri

Huyu mtoto ndio ana siku mbili ardhini? Mbona naona sivyo? Kama wamemfukua saa chache baada ya kuzikwa akiwa hai hapo sawa. Lakini kusema siku mbili zilizopita yuko chini ya udobho nakataa maana maiti bado haijaharibika kabisa......
Chini ya udongo kunasababisha mwili kuharibika haraka....
Kapost udaku wa facebook kauleta huku.
 
Kwa ujinga wa huyu mwanamke naweza kubali ile kauli ya" wanawake mwalimu wao kipofu"

Alichofanya ni unyama,
 
Hii ndio imeniharibia siku yangu. Nimeisoma hii nikamwangalia mwanangu wa miezi mi3, aliyelala nikavuta hisia nimeumia sana.

Kweli kuna ushahidi wa asilimia nyingi kuwa mwanamke japo ni mama zetu ila wana roho za kishetani.

Ref
Hawa
Delila
Lutu
Mke wa Ayubu
mwanamke ni shetani aliyejivika sura ya mwanadamu..sasa uyo amemuua mtoto wake mwenyewe wakumzaa unafkiri ni binadamu wakawaida
 
A single mother buried her 3 months old baby after she met a rich man who promised to marry her.

She did not tell the rich man that she already had a child from a married man. In order to save her new relationship with the rich young man.. she decided to play single by getting rid of the child.

Sadly she buried her the child alive while the child was asleep. This is sad brothers and sisters.
 
Wapi mkuu!!!ah,hope sio Tanzania maana hao sasaivi wapo karibu ya robo tatu ya wanawake wote waliopevuka.RIP
 
AZIKA MWANAE AKIWA HAI KISA AMEAHIDIWA KUOLEWA NA TAJIRI

Mama mmoja amezika mwanae wa miezi mitatu akiwa hai baada ya kuahidiwa kuolewa na kijana tajiri. Mama huyo hakutaka kumwambia mwanaume huyo kuwa tayari alikuwa amezaa mtoto na mwanaume mwingine.

Kwa ajili ya kutaka kudumisha uhusiano mpya na tajiri huyo ndipo alipoamua kufanya tukio hilo la kutisha. Alimvizia mtoto huyo amelala na kwenda kumzika akiwa hai.

Tukio hili limebainika baada ya ndugu na majirani kumuona pekee pasipo mtoto ndipo walimbana hadi akasema ukweli kuwa amemzika mtoto huyo siku mbili zilizopita.

A single mother buried her 3 months old baby after she met a rich man who promised to marry her.

She did not tell the rich man that she already had a child from a married man. In order to save her new relationship with the rich young man.. she decided to play single by getting rid of the child.

Sadly she buried her the child alive while the child was asleep. This is sad brothers and sisters.

Share ili kupinga na kukomesha vitendo viovu
IMG-20171213-WA0004.jpg
IMG-20171213-WA0003.jpg
IMG-20171213-WA0005.jpg
 
Hii ndio imeniharibia siku yangu. Nimeisoma hii nikamwangalia mwanangu wa miezi mi3, aliyelala nikavuta hisia nimeumia sana.

Kweli kuna ushahidi wa asilimia nyingi kuwa mwanamke japo ni mama zetu ila wana roho za kishetani.

Ref
Hawa
Delila
Lutu
Mke wa Ayubu

Inasikitisha mno mkuu. Mungu atustirie watoto wetu,, na ajaalie kheri ndani yake!
 
Evelyn Salt ,

Kimeisha safirishwa kwenda mbingu za Saba hukooo; i hakuna namna tena.

Huyo mama atubie haraka,, tawbati nnasuuha....hako katoto moja kwa moja kanaingia peponi! Yaa Allah tujalie katika waja wako wenye kutenda yaliyo mazuri pia mabaya kuyaepuka. Amiin!
 
Back
Top Bottom