Picha za kuitangaza Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za kuitangaza Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bowbow, Sep 13, 2008.

 1. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wapendwa wanaJF,

  Nimeanzisha kampani binafsi yenye lengo la kuitangaza Tanzania katika nyanja zote za kukuza uchumi na social welfare ya watu watu wake. Kwa sasa nipo kwenye maandalizi ya mwanzoni kabisa, ila naomba msaada mmoja kwa wanaJF na msaada huo ni picha mbali mbali zenye uwezo kuitangaza, kuvutia na hata kushawishi walengwa mbali mbali. Ninakusudia kuitangaza Tanzania katika nyanja ya utalii, uwekezaji, Finance(macro and Micro finance), na utamaduni.

  Hivyo kama kuna mtu mwenye picha au hata video clip zozote zenye kuitangaza nchi yetu unakaribishwa kuituma kupita email yangu demsentz@gmail.com.

  Tanzania nchi yangu, Kilimanjaro sifa yangu sote Tuitangaze Tanzania
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Good initiative....keep it up man...........kwa pamoja tutaweza Tanzania yetu yenye neema
   
 3. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ogah nashukuru kwa support yako

  lakini tukishirikiana wote tutafanikisha.

  Kwa wale waliopo kwenye maeneo ya madini, kando kando ya beach, National parks, e.t.c mnakaribibishwa piga na ktuma picha. Ni vema kama picha umechukua kwa mtu na anacopy right iwe acknowledged ili isije ikawa shida hapo baadae. asante
   
 4. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bow bow umesahau..nanyingine zitundikwe hapa jamvini vile vile
   
 5. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Njia zote zinakaribishwa na natarajia kutumia hili jamvi pia kufanya ratings ya hizo picha
  Naomba ufafanuzi kama picha zikibandikwa hapa zitakuwa na copyright ya JF?
   
 6. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  WanaJF,

  Nashukuru kwa picha mnazozituma, ila naomba wale mnatuma picha nyingi basi mziweke kwenye zip file.

  Naomba kwa wale ndugu zangu mnaotuma picha za "BRAZAMEN" tafadhalini mimi sizihitaji tuwe wastaarabu ni bora mzipeleke kule kwenye jamvi husika.

  Nimepata picha so far 18 but zote is all about Ngorongoro, Kilimanjaro and Dar city photos.

  Naahidi kutoa shukrani ya digital camera 7.1 megapixel kwa picha ambayo itakuwa nzuri. Condition ya mshindi huyo ni kwamba yeye awe ndio ameipiga na sio kaibandua sehemu ingine, na ili kuweka fairness naomba picha zote kwanzia sasa ziwekwe hapa jamvini.
  mwisho wa siku tutapiga kura atakayeshinda ataipata hiyo camera.

  Admin na Mods nitaomba waiver ya copyrights ya picha zote zitakazowekwa hapa.

  asanteni na karibuni kwa maoni kama yapo
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Bow Bow

  Picha kama Orth photo haziwezi kubali kuwa upload kwenye JF..kwa kuwa wana limitation zao za ukubwa so unaweza kupata bad Quality kwa mfano picha iliyo pigwa kwa 10 Mega pixel bila kufanyiwa editing huwezi upload JF...nina picha za mining ambazo zina cover eneo kubwa la uchimbaji...nimejaribu upload imeshindikana.

  So dude what can we do?
   
 8. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Buswelu asante

  kwa jitihada zako
  unaweza kunitumia kwenye email yangu ya demsentz@gmail.com
   
 9. Bowbow

  Bowbow JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2008
  Joined: Oct 20, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Napenda kuwashukuru wote kwa picha mlizozituma

  sasa niko kwenye mchakato wa kuzichambua na mwisho wa kupokea picha
  itakuwa Jumatano. Then Friday nitabandika picha kumi bora hapa pamoja na
  majina ya waliotuma. Nitaomba pia wale wote waliotuma picha wapendekeze jina
  wanayopenda niyatumie hapa. Nitakapoweka hizo picha nitaweka na sehemu ya kupiga kura ili mshindi wa camera aweze kupatikana kabla ya 02.10.2008

  asanteni na bado mnakaribishwa kwa picha
   
Loading...