Picha za kongamano la vijana lililoitishwa na CHADEMA

Kaka Mbowe akuonekana...alikuwepo hapa Arusha....mpango ni kugawa kadi kwa vijana wa vyuo vikuu hapa Arusha then Mwanza na Dodoma. After that Operation Sangara Nchi nzima.

Safi sana, tunaisubiri hiyo operation Sangara
 
vp makumira hakukuwa na taarifa za kiintelejensia??
police wa tz bwana wa kuungaunga sana
 
Back
Top Bottom