Picha za Kikwete zakaliwa na wana CCM kama jamvi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za Kikwete zakaliwa na wana CCM kama jamvi!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Oct 12, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi (12/10/2010) kuna picha kubwa ikimwonyesha Chipukizi: katika kampeni kuna mashabiki/ wanachama wa CCM wengi wao ni akina dada wametandika chini kwenye ardhi picha za mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Mrisho Kikwete na kuzikalia!

  Hivi hawa ni wanachama kweli wa CCM au wamepewa tu ajira ya muda?

  Naomba mwenye hii picha atuwekee hapa, tafadhari.
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  .... shauri zao.... hazina mvuto... hata wao wamechoka.... labda stimu.... wanaonekana...
   
Loading...