Picha za Baraza la Mawaziri la Mwisho la Rais Nyerere kabla ya kung'atuka 1985

Dah, watatu miongoni mwao wamekuja kuwa mapresidaa, Mwinyi, Komandoo na Mukapa(according to G. Brown); kumbe kweli Salim ndiye aliyestail kuwa Rais wa sasa huyu bwandogo brother JK kazamia meli tu huyu ndo mana inamtesa kwa sasa
 
Duh lilikuwa la ukweli.kuna watu wakipita huku utasikia Nyerere kawapendelea wachaga kuna makabila mengene hapa sijawaona ila wachaga hapa kwaharaka haraka kuna zaidi ya mmoja,maana mpaka bungeni sikuhizi ni maswala ya wachaga na sii sera na majadiliano tena ya maendeleo.
 
Nilichogundua hapa Nyerere hakuwa mdini baraza lina waislamu 10.

1. ALLY HASSAN MWINYI
2. SALIM AHMED SALIM
3. RASHID KAWAWA
4. SALIMIN AMOUR.
5. DAUDI MWAKAWAGO
6. MUSTAFA NYANG'ANYI
7. KIGOMA ALLY MALIMA.
8. AMIR JAMAL
9.ALNOOR KASSUM
10. A. SHABAAN
"Ninachokumbuka ni jinsi watu walivyoapa,wengine walishika bible na wengine quran" mbona kingunge hujamweka au ni popo "si mnyama wala ndege"
 
Nilichogundua hapa Nyerere hakuwa mdini baraza lina waislamu 10.

1. ALLY HASSAN MWINYI
2. SALIM AHMED SALIM
3. RASHID KAWAWA
4. SALIMIN AMOUR.
5. DAUDI MWAKAWAGO
6. MUSTAFA NYANG'ANYI
7. KIGOMA ALLY MALIMA.
8. AMIR JAMAL
9.ALNOOR KASSUM
10. A. SHABAAN

Ss huo mfumo wanaoulalamikia wenzetu cjui ni upi?
 
Back
Top Bottom