PICHA YANGU YA LEO HIYOooooo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
10406493_308518655971497_7017941598054799940_n.jpg



Hapa hata Mnyama wa Taifa anapatikana Mbuzi wa Kikatoliki safi sana........ Haleluya......
 
Suala la uchinjaji lishaanza kusahaulika ni vema kukemea kwa nguvu zote dhana hii ya kibaguzi inewahi kutughalimu na itaendelea kutughalimu tukiendelea kuikumbatia
 
Mimi ni mkristo ila sijapenda,mambo haya ni hatari kwa ustawi wa Taifa.
Sidhan km nchi zilizoendelea zinabishana nani achinje
 
Hii mbaya! Na daladala zikiwa za wakristo, migahawa ikawa ya wakristo n.k hatutafika


Mkuu tembea uone.

Mimi kwa masikio yangu kuna watu kadhaa huja kuniuliza ni wa hotel ya kiislam ilipo niende kula huko?

Mimi huwa nawaelekeza tu kule ambako nadhani kweli ni waslam wanapika humo ndani.

Maswali yananibaki kichwani.
Kwanini wanaulizia dini?
Kwa mantiki hio kusema hakuna vitu vyenye misingi ya kidini nakataa!
 
Back
Top Bottom