Picha yangu wakati nilipokuwa bado kijana mnasemaje?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
523786_361775407241742_1672221452_n.jpg

nilivyokuwa kijana nilikuwa Mzuri Mashallah..............................................
 
Jamaa si ungekomaa tu na geshi ungekua mbali sana saivi, yani kwa umri huo una mawe mawili? At least ungekua na cha kujivunia kuliko hiyo kazi uliyojipachika sasa hivi ya "uRUBANI"

Mkuu hapo kwenye kujipachika kazi ya "Urubani" umeniacha hoi sana! Yaani unamaanisha jk ni rubani kwa kuwa muda mwingi yuko kwenye minazi mirefu?! Hahaha umenikumbusha ile picha yuko na cent hamsini.
 
Mkuu huo uzuri wk ndo ulio2ponza coz kila m2 anachukulia poa bora ungekua na uso wa mbuzi tungefaidik ila nakupongeza manake sshv unautumia uzur wk vzr coz daily unauza sura tu.Mwanaume hasifiw sura mkuu ni pilika na kuwajibika!
 
Jamaa si ungekomaa tu na geshi ungekua mbali sana saivi, yani kwa umri huo una mawe mawili? At least ungekua na cha kujivunia kuliko hiyo kazi uliyojipachika sasa hivi ya "uRUBANI"

amejipachika kazi ya upopo
 
Baba wa Taifa alituonya kuhusu kubabaikia uzuri hatukumuelewa sasa tumebaki kulalama na kujilaumu.
 
Mkuu huo uzuri wk ndo ulio2ponza coz kila m2 anachukulia poa bora ungekua na uso wa mbuzi tungefaidik ila nakupongeza manake sshv unautumia uzur wk vzr coz daily unauza sura tu.Mwanaume hasifiw sura mkuu ni pilika na kuwajibika!

Hapo kwenye red,
Una maana angekuwa na uso huu hapa kwenye picha ??
attachment.php
 
Attachments

  • goat.jpg
    goat.jpg
    53.5 KB · Views: 933

Similar Discussions

Back
Top Bottom