Picha;yaliyotokana na ziara ya heche buchosa(tizeba akerwa)

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
baada ya mwenyekiti wa vijana taifa ndugu john heche pamoja kamanda kaswahili kuunguruma BUCHOSA mwaloni kata ya kitwe na kijiji cha kitwe kama inavyooneka mbunge wa hapa ndugu charles Tizeba ameweweseka na kufika hatua ya kulaumu kutoa kila aina ya ujumbe kwa wapambe wake akihoji kama hali iko salama hapa na zaidi ya hapo kudiriki kusema anakerwa saana na siasa za aina ya maneno aliyoyaita ya uchochezi yanayotolewa na bwana HECHE "mimi namfahamu saana huyo bwana ambaye ni mwenyekiti wa vijana wao hao wa chadema hastahili kupewa nafasi ana maneno machafu na ni mchochezi kweli na huyo kaswahili wote hawafai kilidokeza chanzo cha habari kutoka ofisi ya katibu wa CCM wilaya hii ni kutokana na mh heche kufanya mkutano uliobeba mpaka wazee vikongwe kutoka CCM kama picha zinavyooneshaView attachment 73376mzee akirudisha kadiView attachment 73377akipokea ya cdmView attachment 73378View attachment 73379View attachment 73380 mzee akionesha kwa isharaView attachment 73381View attachment 73382
 
dr. tizeba kishaanza kuelemewa na utamu wa nundu ya unaibu waziri hivyo anaona ubunge ni muhimu kwake kulinda maslahi ya unaibu waziri kwa siku zijazo
 
dr. tizeba kishaanza kuelemewa na utamu wa nundu ya unaibu waziri hivyo anaona ubunge ni muhimu kwake kulinda maslahi ya unaibu waziri kwa siku zijazo

mi huwa najiuliza, hawa vijana kadi za hili chama walichukua lini? Maana kadi za mwisho za kulazimishana zilikua 1993. Au ndo wale wanaotumikaga wakati wa kura za maoni?
 
kama hata mababu wameamka mtaji uliobaki wa magamba ni walarushwa na mafisadi tu
 
Watajibeba kama mitumbwi.

ImageUploadedByJamiiForums1354476066.645998.jpg
 
M4C mbele kwa mbele, mimi huku mtaani nazidi kutoa Elimu ya Uraia kwenda Mbele na huko vijijini nikienda kikazi ni elimu kwenda mbele
 
yule jamaa anayeitwa tuntemeke bado hajaongea chochote hapa maana wao kazi yao ni fitna tu ooh heche hafai mpaka sasa vipi mpango wao ni kumkatisha tamaa huyu dogo mbona mi namuona yuko makini saana tena chama chake kingemuandalia jimbo
 
M4C mbele kwa mbele, mimi huku mtaani nazidi kutoa Elimu ya Uraia kwenda Mbele na huko vijijini nikienda kikazi ni elimu kwenda mbele
mwalikeni huyu dogo heche naona kama yeye ndiye bado hachagui kaziatusaidie kuwaburuza
 
Tizeba alikutwa na vyombo vya habari majuzi akiwa amelewa na kutaka kukunjana ngumi na mtu kwenye bar!
Puuuke!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom