englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Hii ni Wedding ya ngapi kwa Kim?
Hii ni Wedding ya ngapi kwa Kim?
Nafikiri Lamal alikuwa mume wa Khloe kama sikosei!Ya pili, mumewe wa kwanza ni mchezaji basketball!!!
Nafikiri Lamal alikuwa mume wa Khloe kama sikosei!
Sawa Lamar alikuwa mume wa Khloe, lakini mume wa kwanza wa Kim pia ni mcheza basketball ingawa sio maarufu sana kama Lamar. Sababu iliyochelewesha Kim kuolewa ilikuwa kungojea talaka toka kwa huyo mumewe!!!

Ya pili, mumewe wa kwanza ni mchezaji basketball!!!