Picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
kim-leather.jpg
 
Nafikiri Lamal alikuwa mume wa Khloe kama sikosei!

Sawa Lamar alikuwa mume wa Khloe, lakini mume wa kwanza wa Kim pia ni mcheza basketball ingawa sio maarufu sana kama Lamar. Sababu iliyochelewesha Kim kuolewa ilikuwa kungojea talaka toka kwa huyo mumewe!!!
 
Kim's First Husband

Kardashian, 20, marries music producer Damon Thomas, 30, who works with the likes of Pink and Faith Evans. But death doesn't do them part, as Kardashian and Thomas endure a messy divorce in 2004. According to PEOPLE, Thomas calls Kardashian a "compulsive shopper."
Hii nimeiona mahali.
kimkardashian8_240.jpg
 
Ya pili, mumewe wa kwanza ni mchezaji basketball!!!

Inaelekea kabla ya huyo mcheza basketball Kim aliwahi kuolewa na music producer anayeitwa Damon Thomas, hivyo hii ndoa ya ke na Kanye itakuwa chuo cha TATU!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom