Picha ya siku

Tehe! tehe! tehe! chakula cha KJ hicho, jamaa alikuwa anajisumbua bure tu, sasa michango yetu itakuwaje?
 
Mngojwa nataka nije nione yule jamaa wa escot atakapo enda kumsabahi....
 
Huyu jamaa anafanya kazi tiGO makao makuu na kishawaliza wanawake 3 kwa mtindo huu huu
 
hizo ndio raha na karaha za umaarufu.

Ingekuwa hujulikani ungelia kimyakimya ndugu wa seboga ila sasa unaanzishiwa topic mbili2
 
Jamaa ana umri. Hivi hakufikiri ? Demu mzuri miaka yote hiyo?Kwa ufupi hakuwa mke material
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom