SOCIOLOGISTTZ JF-Expert Member Jun 16, 2013 2,616 925 May 25, 2014 #2 Tehe! tehe! tehe! chakula cha KJ hicho, jamaa alikuwa anajisumbua bure tu, sasa michango yetu itakuwaje?
Tehe! tehe! tehe! chakula cha KJ hicho, jamaa alikuwa anajisumbua bure tu, sasa michango yetu itakuwaje?
Ziroseventytwo JF-Expert Member Mar 27, 2011 7,971 13,605 May 25, 2014 #3 englibertm said: Click to expand... ndio nani hao?
NAPITA JF-Expert Member Apr 2, 2012 5,076 2,243 May 25, 2014 #4 Mngojwa nataka nije nione yule jamaa wa escot atakapo enda kumsabahi....
kbosho JF-Expert Member Jun 4, 2012 13,029 6,559 May 25, 2014 #7 hivi ni vtuko uswahilini.....uswahilini kuna vitoko!!"x2
englibertm JF-Expert Member May 1, 2009 9,252 6,207 May 25, 2014 Thread starter #8 Ziroseventytwo said: ndio nani hao? Click to expand... masuperstar wa bongo
BONGOLALA JF-Expert Member Sep 14, 2009 16,507 11,883 May 25, 2014 #9 Huyu jamaa anafanya kazi tiGO makao makuu na kishawaliza wanawake 3 kwa mtindo huu huu
Tudai Haki JF-Expert Member Sep 26, 2011 315 80 May 25, 2014 #10 hizo ndio raha na karaha za umaarufu. Ingekuwa hujulikani ungelia kimyakimya ndugu wa seboga ila sasa unaanzishiwa topic mbili2
hizo ndio raha na karaha za umaarufu. Ingekuwa hujulikani ungelia kimyakimya ndugu wa seboga ila sasa unaanzishiwa topic mbili2
Chebe17 JF-Expert Member Apr 3, 2014 275 67 May 25, 2014 #11 englibertm said: Click to expand... Mwacheni apumzimke jamani. Hayo ndio maisha. Yashatokea yashatokea. Imekuwa kila siku hakuna jipya?
englibertm said: Click to expand... Mwacheni apumzimke jamani. Hayo ndio maisha. Yashatokea yashatokea. Imekuwa kila siku hakuna jipya?
Mfamaji JF-Expert Member Nov 6, 2007 6,631 1,926 May 25, 2014 #12 Jamaa ana umri. Hivi hakufikiri ? Demu mzuri miaka yote hiyo?Kwa ufupi hakuwa mke material
M makubazi JF-Expert Member Feb 15, 2013 2,047 362 May 25, 2014 #13 Ooyooo hapo naona kama kipofu kuwona mwezi
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 May 26, 2014 #15 englibertm said: Click to expand... Sijui ni mpe pole yupi kati yao
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 May 26, 2014 #16 NAPITA said: Mngojwa nataka nije nione yule jamaa wa escot atakapo enda kumsabahi.... Click to expand... Nani vile tena?
NAPITA said: Mngojwa nataka nije nione yule jamaa wa escot atakapo enda kumsabahi.... Click to expand... Nani vile tena?