Picha ya siku

Picha ni nzuri sana imependeza na location waliyochagua ya Makumbusho Victoria njia panda ya kairuki hospital imetokelezea.!
Unajua isingeonekana hiyo bajaj na ile daladala na kama siyo mwenyeji Dar, unaweza kudanganywa hapo ni Oklahoma
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom