Itakuwa wa nigeria nchini marekani, wanapenda kujiwehusha sana
Mkuu nilisoma sehemu huyo mwanamke ni Mwanamuziki wa Kitanzania anaitwa Maua Sama na hapo walikuwa wanatengeneza video ya wimbo.Itakuwa wa nigeria nchini marekani, wanapenda kujiwehusha sana
Wakiwa nchi gani?Mkuu nilisoma sehemu huyo mwanamke ni Mwanamuziki wa Kitanzania anaitwa Maua Sama na hapo walikuwa wanatengeneza video ya wimbo.
Sijajua Mkuu.Wakiwa nchi gani?
Naona kibajaji na daladala lina mstari wa mwaibula, nahisi ni dar hapoSijajua Mkuu.
Umefanya na mie niangalie vizuri Mkuu.Naona kibajaji na daladala lina mstari wa mwaibula, nahisi ni dar hapo
Hapo ni bongo mkuu, maeneo ya Victoria njia panda ya kairukiWakiwa nchi gani?
Muache marehemu apumzike salamaViatu kama vya Hamza
Du bajaji zipo mpaka marekaniItakuwa wa nigeria nchini marekani, wanapenda kujiwehusha sana
Wachawi wa Makumbusho
Dar hiyo kijana, Bagamoyo RoadDu bajaji zipo mpaka marekani
InshaallahMuache marehemu apumzike salama
Picha ni nzuri sana imependeza na location waliyochagua ya Makumbusho Victoria njia panda ya kairuki hospital imetokelezea.!
Haha jamaa badala ya kutupeleka uyole akawa anatupeleka chunyaDar hiyo kijana, Bagamoyo Road
Makumbusho, Dar, angalia hayo majengoWakiwa nchi gani?