Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,402
Hakuna cha damu ya kitanzania,wee subiri mzigo uchanganye!Atakua na damu ya kiTanzania
Hope utachanganya kwako.Hakuna cha damu ya kitanzania,wee subiri mzigo uchanganye!
umeanzia kwa public figure.
Hakuna cha damu ya kitanzania,wee subiri mzigo uchanganye!
😀😀😀😀
Umbumbumbu wa Watanzania huanzia kwenye kukataa ukweli!
Picha ya siku ya Nchi gani, acheni Upimbi *****, kuna Vikongwe kibao huko Lindi, Machame nk vinafanya makubwa na kupona Malaria mbona hamleti happa. Ondoeni utumwa vichwani mwenu vibaraka nyie
Hata ufipa hapatakalika....wee subiri mzigo uchanganye!
Wapi nimesema kuwa Corona inabagua?Hata ufipa hapatakalika.
Kwani mimi nimesema inabagua?Wapi nimesema kuwa Corona inabagua?