Picha ya siku ya Mike Sonko

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
ss-2.jpg

enator Mike Sonko hivi karibuni ameweshangaza rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto kwa kuvalia vazi ambalo sio sahihi kwenye shughuli kama iliyokuwa ikiendelea na kuonekana tofauti na kila kiongozi aliyekuwepo eneo hilo
 
Ingekuwa kwetu hiyo!!! angejitumbua kama sio kutumbuliwa.
 
Huyu sonko huwa simuelewi sijui bangi sana.... Ana vituko utadhani si public figure...
Mara a bleach nywele .... dah... Ila napenda vituko vyake
 
Back
Top Bottom