Picha ya siku: Tujikumbushe vituko vya awamu ya tano

Halafu utasikia "tumtangulize Mungu mbele"
Labda mungu wa chato...
IMG_20210929_175427.jpg
 
Kwamba huyu ni mkazi (mzaliwa) wa Chato! Kwamba ni mtu wa kijiweni sana na shughuli zake ni kulima na kufuga! Kwamba sio Shushushu bali ni mkazi ambaye pasina shaka amezoea kuwa hapo alipo na hajui lolote kuhusu SISITIMU

SISITIMU ya awamu ya tano ilifeli sana.Ilikuwa kama watoto wadogo waliovaa pampasi ambao hawajui la kufanya.


View attachment 1891822View attachment 1891824View attachment 1891825
Lilijifanya Mungu mtu, wacha lioze na mashetani walikumbatie. RIP Azory, RIP Bensaanane, RIP Mawzo, RIP sandarusi za maiti Cococ bech , RIP etc etc BAK
 
kama ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya ujasusi utagundua kuwa taasisi za kiitelligensia kuanzia CIA,FBI,MOSSAD ,za Russia na kadhalika zimekuwa zikifanya makosa ya wazi kabisa,ya kijinga na yenye gharama kubwa sana kwao.Mfano mzuri ni jasusi la Israel bwana Eli Cohen ambae alitumwa Syria na Mossad na kuna kosa kubwa tena la kijinga kabisa walifanya mossad ikasababisha huyu jasusi kudakwa na Syria na kunyongwa hadharini uwanjani mchana kweupe mbele ya uma huko Syria.View attachment 1906199

Hizi taasisi huwa wanakosea pia na huwa wanakosea kwa sababu wao ni binadamu na binadamu siyo perfect.
Mueleze mkuu, tena hizo ni highly trained intelligence agencies...
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom