Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,900
- 95,400
Nyinyi waoga jifungieni ndani ili muishi milele sisi tunaendelea ns kazi pia kumwomba Mungu!
Kipimo cha uelewa!
Hawa wamejitahidi mkuu!View attachment 1417264
Hii ilikuwa St Joseph Cathedral Dsm...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli kabisa ndugu. Watu waoga sana.Nyinyi waoga jifungieni ndani ili muishi milele sisi tunaendelea ns kazi pia kumwomba Mungu!
Imagine yule na mzee wa tashiwishi ndo wasomi wao wa kupigiwa mfano..kama si vituko tuitaje?