Picha ya siku: Tanzania na mzahaa wa Corona!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,385
_20200412_142448.JPG
 
Rais mwenyewekasema watu wachape kazi sasa unategemea nini? tuache kila zama na kitabu chake
 
Watu wengine hovyo kabisa ni abiria kwenye daladala.

Leo nimepanda jumla daladala tofauti 5, kwa kuwa hali ya hewa leo ni mvua basi unakuta mijitu imefunga vioo vyote, mpaka vioo vinaleta ukungu, mnajikuta woote ndani ya daladala mnashea hewa inayozunguka mle mle ndani, ukitaka ugomvi fungua kioo(mijitu ya dar sijui ina imeumbwa kwa udongo kichanga?) eti wanalalamika wanalowa, sasa ni bora kulowa au Corona?

Hebu fikiri mfano ndani kuna mgonjwa halafu akapiga chafya? hivi kuna mtu atapona wakati mzunguko wa hewa ni wa ndani kwa ndani?

Mie leo nimefosi kufungua nikaambulia kugombana na watu lakini nikawa king'ang'anizi, nimewaambia kabisa subirini nishuke ndio mfunge au kama vipi nipelekeni polisi mkanishtaki.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom