Picha ya siku: Tanzania na mzahaa wa Corona!

Kiongozi wa nchi Ndio kabeba maono ya taifa iwapo anamuamini Mungu hakuna kitakachoharibika na nina imani pia tutavuka salama katika hili kwa Imani zaidi maana kwa vitendo ni ngumu sana kama tunavyoona ugumu kwa nchi Jirani waliotuzunguka.

Watu wa dini mmelewa 24/7 haha, hiyo bia gani hiyo mtuambie na wengine tuijaribu. Aliyebeba maono ya mungu nani? yangekuwepo kweli hayo maono mngekua masikini wa kutupa namna hii hadi leo? 😂vilaza kazi kweli kweli
 
Kilaza mwenyewe & hiko kidevice chako. Alaaah!???
 
Back
Top Bottom