Picha ya siku: Tanzania na mzahaa wa Corona!

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,208
2,000
Rais mwenyewekasema watu wachape kazi sasa unategemea nini? tuache kila zama na kitabu chake
 

Mnyenz

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
1,062
2,000
Watu wengine hovyo kabisa ni abiria kwenye daladala.

Leo nimepanda jumla daladala tofauti 5, kwa kuwa hali ya hewa leo ni mvua basi unakuta mijitu imefunga vioo vyote, mpaka vioo vinaleta ukungu, mnajikuta woote ndani ya daladala mnashea hewa inayozunguka mle mle ndani, ukitaka ugomvi fungua kioo(mijitu ya dar sijui ina imeumbwa kwa udongo kichanga?) eti wanalalamika wanalowa, sasa ni bora kulowa au Corona?

Hebu fikiri mfano ndani kuna mgonjwa halafu akapiga chafya? hivi kuna mtu atapona wakati mzunguko wa hewa ni wa ndani kwa ndani?

Mie leo nimefosi kufungua nikaambulia kugombana na watu lakini nikawa king'ang'anizi, nimewaambia kabisa subirini nishuke ndio mfunge au kama vipi nipelekeni polisi mkanishtaki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Slowly Picha ya siku ya marais wa Tanzania Jamii Photos 13
C Picha ya siku Jamii Photos 3
Behaviourist Picha ya siku! Jamii Photos 14
herzegovina Picha ya siku, Ipe mwenyewe maneno Jamii Photos 10
Luqman mohamedy Picha ya siku Jamii Photos 10
Similar threads

Top Bottom