Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,404
Huyu mbuzi wa porini alikufa baada ya pembe zake kuwa kubwa sana na kumtoboa kichwani hadi kufa.
Hapo ni Burigi.Dunia ina mengi sana, ni wapi huko?
Umeambiwa huyo ni mbuzi wa porini, unaulizaje mwenyeweMmiliki wake alikua haoni pembe akaikata jamani. Huenda alianguka akajikata
Ni kadri pembe zilivyokuwa zinakua.Duuh iseee...kadri umri unavyoenda kumbe pembe linaendelea kutoboa nyama tuu,hadi kufa
Au alianguka zikamtoboa?
Ni mbuzi pori.Mmiliki wake alikua haoni pembe akaikata jamani. Huenda alianguka akajikata
Daaaah we jamaa kwahiyo mbuzi ana stress? Maana wale wanyama ni imani yangu wana stress mbayaaa.Hapo ni Burigi.
ChilauliDunia ina mengi sana, ni wapi huko?
Mwenyewe ni MunguUmeambiwa huyo ni mbuzi wa porini, unaulizaje mwenyewe
Kwani uuko porini hakuwa na mwenyewe??Umeambiwa huyo ni mbuzi wa porini, unaulizaje mwenyewe
Wakati kiumbe huyu akiteswa na pembe yake Mungu alikuwa mchezoni