Unafananisha mauaji na ugaidi?
Unamchukua Neema aliyemchoma moto Zungu unamlinganisha na Sheikh al Baghdadi na wafuasi wake walioua maelfu na kuhamisha mamilioni.

Unajifanya hujui ugaidi ni nini
Huwezi kuubadili ukweli,acha kutwanga maji.
 
Tuwekee na list ya madikiteta wenye jinsia ya kike na nchi wanazotoka.
Baadhi ya watanzania wana akili kama za kuku wa kienyeji.
1. JK ni Rais mpole na anayesafiri
mno.
2. Magufuli amekaza mno ni dikteta
3. Samia ni dikteta wa kike.

Basi hama nchi coz hakuna anayefaa kuwa rais wa nchi hii, awe mwanamke au mwanaume.
 
Policeccm wanajiaibisha na kuidhalilisha nchi yetu,tuseme hapana na tupinge uonevu huu kwa nguvu zote.

IMG_20210731_234313.jpg
 
Ila zamani kulikua na watu vichwa sana CCM.. waliweza kutengeneza mpango na ukatengenezeka.. kudos kwa wazee wa CCM wa miaka hiyo!
 
Ni mbinu za kishamba kama alizotumia Mwigulu kwa Rwakatale then zikafeli
 
Watanzania siowajinga
2015 walimpigia kura mgonjwa lowasa akatangazwa mgonjwa tabani aliyejifanya anaafya njema anapiga pushap
2025 jiandaeni watachagua gaidi na ugaidi wake
 
Wewe yahudi wa Nzega ningeshangaa sana kama usingekuja kutingisha kalio kwenye hii thd au kucomment hivyo,tingisha kalio pole pole usije kata shanga za kiunoni.
We mwantumu mwanamke gaidi umeguswa kidogo unaanza kutekenyeka kama Aysha mke wa Muhammad
 
Wewe yahudi wa Nzega ningeshangaa sana kama usingekuja kutingisha kalio kwenye hii thd au kucomment hivyo,tingisha kalio pole pole usije kata shanga za kiunoni.
Wanawake wa kiarabu wa tandale mnajua sana kuchamba
 
Huyo Gaidi wa katikati ungemvalisha nguo za kijani.Ujumbe ungekamilika vizuri sana.
 
Baadhi ya watanzania wana akili kama za kuku wa kienyeji.
1. JK ni Rais mpole na anayesafiri
mno.
2. Magufuli amekaza mno ni dikteta
3. Samia ni dikteta wa kike.

Basi hama nchi coz hakuna anayefaa kuwa rais wa nchi hii, awe mwanamke au mwanaume.
We pimbi unachapisha gazeti kampuni gani?
 
Back
Top Bottom