T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,560
- 34,593
Wapi nimesema hivo. Kwanza hakuna aliyetaja dini unajishtukia, au kati ya waliotajwa ukiondoa Mbowe sio magaidi?Naona unataka kujaribu kukipulizia kinyesi manukato,najua maana ya ugaidi usifikiri nimekurupuka,au wewe unadhani ugaidi ni kujifunga kilemba na kufuga ndevu?
Unachopinga ni nini pale? Weka list yako ya ambao hawajavaa viremba na hawana ndevu. Usije leta walioua kwa ajari ukawaita magaidi