Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,404
Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
Weka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,
Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
Sijaona palipotajwa dini ya mtu hapo.Weka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,
Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
Sio kila mauaji ni ugaidi. Kwani hujui definition ya ugaidiWeka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,
Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
Tahila huyo dadaSijaona palipotajwa dini ya mtu hapo.
Mbona Magufuli na Samia hawapo kwenye orodha ?
Naona unataka kujaribu kukipulizia kinyesi manukato,najua maana ya ugaidi usifikiri nimekurupuka,au wewe unadhani ugaidi ni kujifunga kilemba na kufuga ndevu?Sio kila mauaji ni ugaidi. Kwani hujui definition ya ugaidi
kunywa kwanza maji mkuu utatapika nyongoWeka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,
Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
Najua umeelewa ila unataka kujaribu kupindisha ukweli wa hiyo katuni.Sijaona palipotajwa dini ya mtu hapo.
Huo ndio ukweli wenyewe,najua ujumbe umefika.kunywa kwanza maji mkuu utatapika nyongo
Kuna sehemu nimemtaja huyo mumeo?Kwani Mbowe ni swala tano !.
Naunga mkono hoja!eka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,
Sijaelewa chochote hapo, sijaona palipoandikwa dini ya mtu hapo, labda utusaidie kwa undani.Najua umeelewa ila unataka kujaribu kupindisha ukweli wa hiyo katuni.
Kuelewa post kunategemea na uimara wa ubongo wako,ila naamini kabisa kua umeelewa.Sijaelewa chochote hapo, sijaona palipoandikwa dini ya mtu hapo, labda utusaidie kwa undani.