Picha ya siku, Ipe mwenyewe maneno

herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,121
2,000
ES8BbezWsAAz6jF.jpeg
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,234
2,000
Namwona waziri anayeonekana kama anazungumza, halafu yupo Mbunge anayeonekana amenuna, sijui kwa kutofurahishwa na yanayosemwa na waziri?

Huyu waziri ni wa utalii, lakini haionekani kuwa hilo kundi lililosimama hapo ni watalii!, au ni wananchi anaowashutumu kuwa ni majangiri?

Halafu ni kwa vipi mkutano kama huo wa waziri wa wizara kama hiyo ufanyike sehemu ya kituo cha Afya? Au jangiri aliyenusurika kuuawa na wanyama pori kakimbiziwa kituoni hapo?

Hebu nipe alama zangu za udadisi mkuu 'Herzegovina', maana picha yenyewe ndivyo ilivyokaa, haisomeki hii!
 
50% hapo huyo waziri alikuwa ni Naibu waziri wa afya.
 
herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,121
2,000
💯
Face expression inaonnyesha maneno anayoyasema Waziri hayatoki moyoni! Mbunge uvumilivu umeshindikana! Kuna mwanachi ana not down maelezo ya Waziri ili baadaye Waziri asije sema Wananchi walimnukuu vibaya 😂🤣😂🤣
 
Ni kam.. Hili Nalo Linaongea Nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sound tu anaona hapo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Face expression inaonnyesha maneno anayoyasema Waziri hayatoki moyoni! Mbunge uvumilivu umeshindikana! Kuna mwanachi ana not down maelezo ya Waziri ili baadaye Waziri asije sema Wananchi walimnukuu vibaya 😂🤣😂🤣
Nina uhakika waziri alijiongeza na kuondoka mapema, la sivyo ni lazima wangemchapa makofi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom