Picha ya Salum Mwalimu baada ya kukamatwa kwa Uchochezi Shinyanga

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg


Huu ndio mtindo ambao Polisi wameanza kuufanya kwa Viongozi wa Kisiasa watakaokamatwa kwa makosa ya uchochezi.Hii ni kutaka jamii iwafahamu popote watakapopita kuwa watu hawa ni wachochezi na wawaepuke.

Kuelekea Septemba Mosi,viongozi watakaokamatwa kwa kosa la kichochezi watashikishwa mabango yanayowatambulisha kama wachochezi katika Jamii.Hali hii ni kuanzia kwa Mwalimu na kuendeelea mpaka kwa viongozi wengine.

Tutaona mengi kuelekea UKUTA.....
Cc Lizaboni Adharusi UncleBen Jambazi Ritz Eli79 Ruttashobolwa
 
Hakuna shida mkuu ,kila lenye mwanzo lina mwisho wake ,hakuna mabadiliko yanayokuja kirahisi ,Unataka kuwa na mtoto ,mwanamke atabeba Mimba miezi tisa ikiwa kabisa ni ushahidi mbele ya watu kwamba alifanya mapenzi ,atateseka kwa miezi hiyo mwisho atajifungua ,ni hayo tu mkuu
 
Kama wanafanya uchochezi ili wapate airtime na sympathy acha waswekwe tu, watapata hiyo sumpathy huko mahabusu kwa wenzao.
 
Back
Top Bottom