Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Kwa tasnia ya uchekeshaji ni jambo la kawaida.

Mbona Masudi Kipanta huwa anamchora rais vibaya zaidi na huwa rais mwenyewe anacheka?

Au mm sijaelewa kusudi la Idris?
Kiufupi hio taarifa imetolewa na mtu Instagram jina la account ni Baba Keagan hauwezi jua mtaani kuna baba kegan wangapi.

Ila haijaandikaa Paul Makonda so Idris aendelee na maisha yake Kwa sababu is just a hox kama taarifa ya kigogo Twitter
 
Baba Keagan ni nani hasa hadi aagize alivyoagiza? Kwenye maagizo ya kiserikali na kiutendaji, majina yanayopaswa kutumika ni majina halali. Kuna uthibitisho gani kuwa Baba Keagan ni Makonda? This thing is neither trivial nor immaterial.

Hata maagizo ya kwenye mitandao ya kijamii nayo ni feki

Akijipeleka polisi atakuwa mpuuzi kwelikweli
 
Kikarara78,

Kikarara78,
Wito wa polisi unaweza kuwa kwa njia yoyote iwe simu, barua, kuachiwa ujumbe unakua wito halali.

Huyo msanii amefanya impersonation, pili amekiuka sheria ya mtandao
Someni sheria kabla ya kutoa povu
 
Wito wa polisi unaweza kuwa kwa njia yoyote iwe,simu,barua,kuachiwa ujumbe unakua wito halali
Huyo msanii amefanya impersonation,pili amekiuka sheria ya mtandao
Someni sheria kabla ya kutoa povu
Unajua maana ya 'impersonation' wewe?
 
Makonda mwisho wake utakua wa aibu sana.
Dar na Mbeya mna hasara sana na wakuu wenu..
 
unaujua usanii?
kama idris Anatambulika na BASATA kuwa ni msanii Hana kosa.
Kama kukamatwa angeanza masudi kipanya
Masudi anachora katuni sio picha halisi ya Rais, ni ngumu kumuhukumu Masoud K. kwa sababu akikataa huna ushahidi kuwa aliyechorwa ni Mhusika hasa.
 
Unajua maana ya 'impersonation' wewe?
an act of pretending to be another person for the purpose of entertainment or fraud.
Ni kosa la jinai

Pia kwa mujibu wa sheria ya mtandao ni jinai kutumia computer kubadili muonekano wa Rais au nembo yake.
 
@="Chachu Ombara]
Kuna barua zipo mezani kwa makonda zaidi ya mwezi hazijajibiwaa anakimbizana na vitoto, tena comedians, WTF!

Huo muda anutoa wapi? anajua maana ya sanaa?
Huyu dogo sijui alimlish nini jiwe, si atumbuliwe tu?
 
Masudi anachora katuni sio picha halisi ya Rais, ni ngumu kumuhukumu Masoud K. kwsbb akikataa huna ushahidi kuwa aliyechorwa ni Mhusika hasa.
acha ujinga wewe kuwa CCM kusikufanye kuwa hivyo namna hii hata mwanao wa shule ya msingi amefunzwa namna ya kufikisha ujumbe kwenye jamii ikiwa ni pamoja na kutumia sanaa za maigizo na uchoraji.
 
Masoud Kipanya huwa anatumia makalio yako kuchora katuni za Jiwe?
Masoudi hamchori Rais wewe
Magufuli hayupo vile,ukimpeleka mahakamani utashindwa tu kesi
Huyo msanii hakumchora Rais,ame distort muonekano wa Rais hata wewe unajua kwamba ile sura ni ya rais halafu huku chini amemvika vi mtikila
 
Masoudi hamchori Rais wewe
Magufuli hayupo vile,ukimpeleka mahakamani utashindwa tu kesi
Huyo msanii hakumchora Rais,ame distort muonekano wa Rais hata wewe unajua kwamba ile sura ni ya rais halafu huku chini amemvika vi mtikila
LAKINI KWELI, Masoud huwa anachora mtu mwenye kichwa kikubwa ambaye wakati wa kuzaliwa alikosa FOLLIC ASID, kichwa kina chogo na kimesogea kwa mbele kama bedford, siyo rais wetu mpendwa
 
  • Kicheko
Reactions: prs
Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
Dear learned lawyer,wito wa polisi ni sheria, iwe kwa simu, kwa kuachiwa ujumbe na ameambiwa akifika aseme Makonda kaniita

Mnatakiwa kuwa mstari wa mbele kuwafundisha watu kutovunja sheria
 
Back
Top Bottom