Picha ya Rais ofisini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya Rais ofisini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jikis, Apr 18, 2011.

 1. j

  jikis Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Ndugu zangu wana JF, naomba mnipe msaada katika jambo hili. Karibia kila ofisi binafisi kubwa hapa nchini ukiingia ndani utakutana na picha ya raisi. Swali je ni lazima kuiweka katika ofisi yako, na je katika biashara inasaidia nini? Je hii picha inapatikana katika ofisi za vyama vya upinzani?, na kama wao hawaweki hiyo picha wanafuata sheria ipi au katiba ipi? Na kama sio sheria kuitumia au kuweka picha hiyo ukatani wanaoiweka wanakuwa wanatumia kipengele gani cha sheria au katiba?
   
 2. T

  Technology JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Jikis huna mambo muhimu ya kufanya?
   
 3. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata wasipoweka, Posho wanazopewa bungeni zina sahihi yake.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,775
  Trophy Points: 280
  jikis mbona hujajibu?
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Haya ndio matunda ya shule za kata. swali lingine jibu lingine, hapa hata kichaa anaweza akajiona ana nafuu akaanza kukuhurumia wewe, maana ataona umemzidi ukichaa.
   
 6. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mi nadhani kauliza maswali ya msingi, hakuna haja ya kuanza kumshambulia, kama haujui chochote kuhusiana na hilo, nyamaza, kama unajua mfafanulie. asanteni
   
 7. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hahaha,mkuu speed uliyoanza nayo sio mbaya ila cha msingi jifunze kusoma,kuelewa na kujibu swali uliloulizwa!Kwani uliambiwa anataka kujua posho wanayopokea ina sahihi ya nani??C'mon give us freakin break,Nyie kaanzisheni jukwaa lenu huko mvuane magamba! Au kama vp kuna majukwaa mengine yanayokufaa kwa uwezo wa uelewa wako!!
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Ni utamaduni na si kila picha ya rais huwekwa
   
 9. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  So far ofisini kwangu ninayo ya nyerere tu
   
 10. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani kama nimekukwaza mkuu.
   
 11. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Utadhani umesoma nje ya Tanzania jinsi tunavyotengani leo hii ila pamoja tutafika haijalishi shule ya kata ama sio.
   
 12. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama ni kweli anasaini malipo ya pesa hizo ujue wanamdai na lazima alipe!
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu umesahau kusema na ya mkapa. Nakukumbusha tu.
   
 14. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kinyesi!
   
 15. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mijitu mingine sijui imezaliwa kinyumenyume mwenzenu kaomba msaada wa kuelimishwa ninyi mnaporomoka na mitusi ilimradi umeandika upuuuuuzi wako acheni hizo kama hujui si lazima kuandika.!!!
  Ngoja nirudi ...........
   
 16. j

  jikis Member

  #16
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Nilichotaka kutoka kwenu wana JF ni ufafanuzi na sio kushambuliwa, kipi kizuri kuuliza ama kukaa na ujinga wako yaani uzezeta? Nilichosema ni kutokana na uchunguzi wangu mdogo maofisi mengi yanatumia picha ya Raisi au wakat mwingine ya Nyerere. Hizi picha zinasaidia nini katika ofisi? Kwa nini watu wasiweke picha za Mlima Kilimanjaro? Ni hayo tu, nitoeni ujinga huu nilionao.
   
 17. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Ofisini kwangu mimi nimeweka picha ya baba wa taifa yaani Julius Kambarage Nyerere halafu na ya Dr. Wilbrod Peter Slaa pembeni!
   
 18. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nadhani kuna sheria, pale nbc makao makuu hawakuweka picha ya nyerere, mwaka 2007 tukiwa pale kuna jamaa alikuja nadhani ni toka tiss akauliza mbona picha iko moja t? Yaani ya kikwete pekee, nilipita baada ya 2 day ikawepo na ya nyerere
   
 19. D

  Danniair JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyakati za Mwl. Nyerere ilikuwa ni lazima na wananchi wote tulijua hivyo. baada ya kuja vyama vingi mambo mengi yamevurugika. Lakini kama unavyomwona Bw.Obama na picha ya Marehem Abraham Lincolin (rais wa zamani wa USA) au Mao wa china, picha zina aina fulani ya uhai ndani yake. Wanao jua husema macho ya waliokuwa viongozi huwa yana baraka fulani kwani hayana hila (evil-eye) au kijicho. Pia kama ilivyopicha yeyote ya marehemu ukilia au kuomba kwayo (Makanisani ) kunakuwa na aina fulani ya kusikiwa ombi lako. Refference ni Obana na Lincolin. Ebu jaribu kwa zile picha za nyumbani kwenu. Kwa viongozi wa kisiasa picha huleta heshima na uzalendo pia. Kaa ktk kona yoyote ya chumba utakapo simama basi jicho litakuangalia. wakati nasoma kuna mkuu fulani wa mkoa alimfukuza changu toka ofisini kwake kwa kosa la kujichekesha bila kujali Picha ya mtawala wa nchi.
   
 20. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Ninachojua ni kuwa kuna sheria kuhusu utumiaji wa nembo za taifa sehemu mbalimbali. Kuhusu picha sheria inataka ofisi zote za serikali na offcourse mashirika kutundika picha 2 ya nyerere na rais aliyeko madarakani. Sehemu nyingine binafsi ni matakwa ya mtu. Lakini kwa kuwa tunakubali mamlaka ya kuwa chini ya rais basi hutundika kwa heshima ya kuwa hivyo lakini ukiamua kutundika lazima ziwe 2
   
Loading...