Picha ya ombaomba aliyetaka kubusiwa na mwanamke salender bridge-MANYOA YA PAKA

aaah bana hiyo Picha ya Ngoshwe, kwahiyo unamaana Ngoshwe ndie mkono wa Paka.....?
 
Huyo ni Ngoshwe...
 

Attachments

  • ngoshwe.jpg
    ngoshwe.jpg
    8.3 KB · Views: 312
najua Ngoshwe anatashangaa kwa yeye kuhusishwa na mkono wa paka wa pale daraja la salenda, Ngoshwe ana babyface just the same as huyo jamaa.
 
najua Ngoshwe anatashangaa kwa yeye kuhusishwa na mkono wa paka wa pale daraja la salenda, Ngoshwe ana babyface just the same as huyo jamaa.

So Ngoshwe ndio alitoweka na yule Mwanamama pale Salenda LoL!:eek:
 
kichwa umeniacha hoooi, kwa kweli umejitahiidi kufananisha! navuta hisia kama ni mumeo sijui inakuwaje kwa kitanda, utadhani umelala na brush ya ******! minywele itakuwa inachomachoma. puuuuuuu!!!
 
Tehe tehe...sie watu wa Mungu bana mambo ya mapaka bana habari ingine hiyo sijui Nyani asemaje haya?


hebu thibitisha hiyo picha inayodaiwa kuwa ni ya mkono wa paka ni yako ama ?
maana wakuu wengi wanakuhusisha, we noma
 
Huyu ni ngoshwe lakini ile ya Avatar alipiga passport size!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom