mbona hiyo picha kama ya mwanajamvi mwenzetu ngoshwe, au pacha wake?
Ngoshwe ni nani? ana jina tofauti huyu jamaa
najua Ngoshwe anatashangaa kwa yeye kuhusishwa na mkono wa paka wa pale daraja la salenda, Ngoshwe ana babyface just the same as huyo jamaa.