picha ya mwaka

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,915
709
najivunia utanzania wangu nikiona quality ya ucreativity kama huu
 
Inawezekana ikawa ya mwaka kwa kuwa nyingene sijaziona......na hata hivyo mwaka bado haujaisha bado. Hapo hata mimi nimefurahi kama imetengenezwa na Watanzania wenzetu......Big up!
 
Tusisifie vitu zaidi ya uhalisia wake. Sijaona cha mno mpaka picha iwe ya mwaka, zaidi saana naona kichungi cha sigara kikubwa kama binadamu!
 
Inawezekana ikawa ya mwaka kwa kuwa nyingene sijaziona......na hata hivyo mwaka bado haujaisha bado. Hapo hata mimi nimefurahi kama imetengenezwa na Watanzania wenzetu......Big up!
Kwali kabisa inaonyesha ni jinsi gani watanzania tupo juu safi sana watu kama hawa wazidi kujitokeza ili na sisi tuonekane tupo juu naimani tunaweza kabisa
 
Soma kwa umakini imeandikwa Smoking Kills, kwa watu wa designing wanajua kwanini hii picha iko juu kuanzia designing ya 3Ds, brushes, lightning, shadows na vectors zilizotumika. Hii picha haijapigwa na kamera, bali imekuwa designed na computer.
 
YA mwaka labda,kwa kampeni za kupinga matumizi ya tumbaku,ndio itashinda ,zipo picha zimechorwa kwa mkono acha za kompyuta hujaziona....
 
Soma kwa umakini imeandikwa Smoking Kills, kwa watu wa designing wanajua kwanini hii picha iko juu kuanzia designing ya 3Ds, brushes, lightning, shadows na vectors zilizotumika. Hii picha haijapigwa na kamera, bali imekuwa designed na computer.

Ni vizuri kujaribu! Unahitaji mazoezi na inspiration za kushiba. Kp Up
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom