Picha ya mwaka

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Salute kwako Mama wa Kenya. Huu ndiyo upendo.

FB_IMG_1582234444362.jpg
 
Aliye edit apo kafanya mistake nyingi tu..
Size ya mtu(uyo mama) haina uwiano na watu wengine hapo
Angalia mguu wa kulia,ameacha mistari jinsi alivyokua anakata

Size ya vichwa vyao pia 🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom