Picha ya Mtoto wangu Yaniokoa na Miwaya

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
764
378
........Nimekutana na mdada mmoja Mitandaoni.. Tukafikia kupeana namba za CM name mwisho mawasiliano yetu yakakua Sana Kama Miezi 3-4 Hivi.
..Akaja Dar es salaam kwa Ndugu zake Mbagala Rangi tatu....Tukapanga Ahadi ya Kukutana kwa ajili ya Mgegedo wa Hatari. Kweli Tukakutana Lodge Moja matata Pande Za Zakhem Pale Kama unaelekea Kiburugwa.
...Break ya kwanza Jikoni Bar... ugali Mkubwa na Mbuzi Choma... Pembeni Maji Makubwa ya Kilimanjaro,Baada ya Kufinya Menu tukajitosa Room,Majanga Ndo yakaanza.
.....Mrembo Kaenda Kuoga, Natalia kumfuata tuoge wote Akanigomea Kata Kata.....Basi Mzee baba nikabaki nachezea simu tu kwa Bed.
Alipomaliza Nami Nikajitosa kubath Lead kwa Game na Waarabu Wa Algeria.
Ile natoka bafuni, nakuta mrembo Analia Uku Amejiinamia na Kwikwi Juu...dah nikajuha manjonjo ya Manamwali Mpya.... UKICHUKULIA HII NI game Ya CL.
....Akainua Sura,ni kweli alikuwa Analia For Real.... Akaniambia kumbe una mtoto mdogo kiasi Hichi?... Kwenye look cha Simu yangu Kulikuwa na Picha nimepiga na mwanangu Nikaandika my only, Son.
....Akaniambia nikuambie ukweli Tu, Mimi Muhathilika Mwaka wa 3 Now... Na nimeshapoteza Mume na mtoto.... Kwa Ushahidi akatoa Cheti, pamoja na Dawa za Kila Siku.
........Duuuuuuuh Jamaa Akanywea Mara moja, Na nikapata mshtuko mkubwa Sana.... Kwani sikuwa na Ndomu. Nilipanga Kuuza Mechi mwanzo Neosho.
...Tukatoka nikamtia 20 ya Nauli,Till Now ni Rafiki yangu Wa Karibu, but Game nilishindwa kabisa.
#Niliokolewa na Picha Ya Mtoto ndugu zangu,Tuweke picha za Familia zetu sometimes Sinaokoa Sana.
PERIOD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa Mjini umepigwa chenga ka'Maradona au Kadinyo kisha unasindikizwa na kibao cha mgongo.


Bado ukamsindikizia na Tujipesa...oooh shiiit WTF.

Amekuvuna Tayari.

Ukihonga sana hukawie kulost Mwana..

Usurudie uzembe wa namna hii Jombaa.


Also AIDS/HIV IS MYTH.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom